Kuna sehemu waumini wasiotumia ni wachache sana lakini bado huwezi kupata kwa mama ntilie kama mboga.Nature yake baadhi ya waumini hawatumii, hivyo biashara ndogo km ya mama ntilie nafasi haitoshi kutenganisha jiko la kitimoto na la vingine.
Mbeya kitimoto bei rahisi kuliko nyama ya ng'ombe.Umewahi fika Njombe, Mbeya huko?
Au unazungumzia Dar Ili kuleta uchochezi kufurahisha nafsi yako?
Tatizo bei mwanawane bei.Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza kuanzia nusu kilo?!
Hili hali inahitaji kubadilika kuwe na mama ntilie wanaouza kitimoto na wauza chips wanaouza mishikaki ya kitimoto.
Unalalamika ukiwa wapi? Kàma uko dar nenda shekilango kuna mtaa zimebanikwa mtaa mzima zinawaka kama nyota!Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza kuanzia nusu kilo?!
Hili hali inahitaji kubadilika kuwe na mama ntilie wanaouza kitimoto na wauza chips wanaouza mishikaki ya kitimoto.
Huyu bado hajatembea ajioneeUmewahi fika Njombe, Mbeya huko?
Au unazungumzia Dar Ili kuleta uchochezi kufurahisha nafsi yako?
Mimi nataka nikapate Dar kwa mama ntilie, uchochezi gani wakati ni kitendo cha kuweka kibao tu mboga au mishikaki ya kitimoto inapatikana.Umewahi fika Njombe, Mbeya huko?
Au unazungumzia Dar Ili kuleta uchochezi kufurahisha nafsi yako?
Siye waislamu twala kitimoto ilimladi achinjwe kwa kuelekezwa kibra kiislamu...mtume alisema tukiwa na njaa tunaweza kula kitimoto tatizo ni uchinjajiNature yake baadhi ya waumini hawatumii, hivyo biashara ndogo km ya mama ntilie nafasi haitoshi kutenganisha jiko la kitimoto na la vingine.
Nenda unapata, tena wauzaji wameweka wapiga debe pisi kali zinaonga lafudhi ya kichanga. Unagombaniwa hata ukitaka ya jero pesa yako tuu.Hapo ninaweza kupata mishikaki ya buku buku ya kitimoto??