Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

Hujaenda Njombe, Sumbawanga, Mbeya, Songea na kwingine
 
IKiuzwa kwa mama ntilie makobazi watalalamika. Vyombo vya kitimoto vitachanganyika na vingine
Wanaouza mboga ya kitimoto wabandike kibao tu, halafu mbona Kambale, pweza, ngisi, jodari n.k wanauzwa kwa mama ntilie ila Wasabato hawalalamiki?
 
Wanaouza mboga ya kitimoto wabandike kibao tu, halafu mbona Kambale, pweza, ngisi, jodari n.k wanauzwa kwa mama ntilie ila Wasabato hawalalamiki?
Makobazi ni walalamishi si unawajua
 
Kitimoto ni Kwa wenye kipato Cha juu tu sio waomba pesa za binoculars
 
Ipikwapo inasinyaa, yaani kilo moja waweza dhani ni nusu kilo

Ya ng'ombe kilo moja inabaki wingi ule ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…