Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

Shwari Mkuu wanachaji rand 10,000 mpaka 12,000 binafsi ila usilipe mtandaoni kuna utapeli sana gari uwepo SA ununue ndio nikutafutie dereva..sio hii ya kwenda kuchukua gari kwenye kampuni hewa..
Je is it possible kwa meli?
 
Hiyo gharama ni pamoja na mafuta au ni nje ya mafuta.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Tofauti ipo kubwa kununua gari SA hiyo na Japan inategemeana umepata wapi na pia kama Hilux made ya SA kodi yake pia inapungua sio sawa na Japan...gharama ya kurudi SA sasa hivi ipo juu haya mambo ya Corona hiyo ni gharama ya kwake mafuta na kulipia kila mpaka ni kwako...
 
Discory 4 ya 2012 automatic...
 
Attachments

  • Screenshot_20220620-204108_Phoenix.jpg
    Screenshot_20220620-204108_Phoenix.jpg
    95.2 KB · Views: 48
  • Screenshot_20220620-204038_Phoenix.jpg
    Screenshot_20220620-204038_Phoenix.jpg
    150.7 KB · Views: 47
  • Screenshot_20220620-204019_Phoenix.jpg
    Screenshot_20220620-204019_Phoenix.jpg
    127.1 KB · Views: 49
  • Screenshot_20220620-204004_Phoenix.jpg
    Screenshot_20220620-204004_Phoenix.jpg
    139.2 KB · Views: 48
  • Screenshot_20220620-204026_Phoenix.jpg
    Screenshot_20220620-204026_Phoenix.jpg
    149.9 KB · Views: 49
Tofauti ipo kubwa kununua gari SA hiyo na Japan inategemeana umepata wapi na pia kama Hilux made ya SA kodi yake pia inapungua sio sawa na Japan...gharama ya kurudi SA sasa hivi ipo juu haya mambo ya Corona hiyo ni gharama ya kwake mafuta na kulipia kila mpaka ni kwako...
Garama ya carrier kias gn Mkuu kwa uzoefu wako? Naomba kwa road garama kubwa mil.2 na point

Gara
 
Kama hii ushuru wake waweza kuwa ngapi ?
Mkuu gari za Sadc ushuru wake unapungua muda mwingine unaongezeka hata haueleweki sana ila hiyo ni pungufu ya 25m ikizidi ni nadra sana maana kodi yake ipo tofauti na gari za Japan...
 
Garama ya carrier kias gn Mkuu kwa uzoefu wako? Naomba kwa road garama kubwa mil.2 na point

Gara
Wapo wanaotumia maji kusafirisha gari kulitoa tuu toka Johannesburg mpaka bandari ya Durban ni ghari kwa makampuni yao na pia utalipia vitu vingi pamoja na Bima...kwa bei zinavyouzwa gari SA tunaona ile punguzo ndio linatumika kusafirisha gari kutoka Joberg mpaka Tanzania..ni bora ukaendelea ku save ukawa na hela ya kutosha kuliko ukaamini utajibana hakuna msaada wowote huko bara barani na siku umepewa chache za Transit haitaji ujanja ujanja wowote kufikisha gari Tanzania zaidi ya kuendesha ndio gharama nafuu.
 
Una website ya magari ya wasauthi tuyaone bei zake
 
city deep auto.co.za
Pick up sales gumtree.co.za
Ford ranger used.co.za
Scania truck.co.za
Pomona heavy duty .co.za
Angalizo humo angalia tuu usifanye mambo ya kulipa hela watu wameingilia mifumo ya malipo na wengi wametapeliwa
Borgsburg truck.co.za
Code ya SA ni co.za kwa hiyo ukitaka chochote kiandike jina Malizia na co.za utapata
 
Hiyo gari ya matajiri hiyo 4 m wadau wanaongeza 2m wanapata gari safiii kabisa

Badili mfumo uweke coil springs. Gharama ya kubadili sio ndogo sana ila utakaa muda mrefu bila pressure. Nadhani hata disco 4 wanabadili ila sina hakika
 
Back
Top Bottom