Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Ohhohh..kumbe cvyo??😁😎Unadhani watu wangenunua Harrier tako la nyani kama bei ni ndogo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhohh..kumbe cvyo??😁😎Unadhani watu wangenunua Harrier tako la nyani kama bei ni ndogo hivyo
Tafuta unigawie.Ngoja tutafute pesa,vitu vizuri haviishi
Je is it possible kwa meli?Shwari Mkuu wanachaji rand 10,000 mpaka 12,000 binafsi ila usilipe mtandaoni kuna utapeli sana gari uwepo SA ununue ndio nikutafutie dereva..sio hii ya kwenda kuchukua gari kwenye kampuni hewa..
Uelewa hawanaOhhohh..kumbe cvyo??[emoji16][emoji41]
SASA kama unayoiona hapo discover 3 ushuru hazifiki 17mUnadhani watu wangenunua Harrier tako la nyani kama bei ni ndogo hivyo
Kampuni wapo ghari ni kama unanunua gari ingine watakuchaji kwa miles...hao ni Watanzania wapo kwa kazi hiyo na gari zinafika kila kukicha..Dereva ni wa company au binafsi?
Tofauti ipo kubwa kununua gari SA hiyo na Japan inategemeana umepata wapi na pia kama Hilux made ya SA kodi yake pia inapungua sio sawa na Japan...gharama ya kurudi SA sasa hivi ipo juu haya mambo ya Corona hiyo ni gharama ya kwake mafuta na kulipia kila mpaka ni kwako...Hiyo gharama ni pamoja na mafuta au ni nje ya mafuta.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Garama ya carrier kias gn Mkuu kwa uzoefu wako? Naomba kwa road garama kubwa mil.2 na pointTofauti ipo kubwa kununua gari SA hiyo na Japan inategemeana umepata wapi na pia kama Hilux made ya SA kodi yake pia inapungua sio sawa na Japan...gharama ya kurudi SA sasa hivi ipo juu haya mambo ya Corona hiyo ni gharama ya kwake mafuta na kulipia kila mpaka ni kwako...
GaraTofauti ipo kubwa kununua gari SA hiyo na Japan inategemeana umepata wapi na pia kama Hilux made ya SA kodi yake pia inapungua sio sawa na Japan...gharama ya kurudi SA sasa hivi ipo juu haya mambo ya Corona hiyo ni gharama ya kwake mafuta na kulipia kila mpaka ni kwako...
Kama hii ushuru wake waweza kuwa ngapi ?Discory 4 ya 2012 automatic...
Mkuu gari za Sadc ushuru wake unapungua muda mwingine unaongezeka hata haueleweki sana ila hiyo ni pungufu ya 25m ikizidi ni nadra sana maana kodi yake ipo tofauti na gari za Japan...Kama hii ushuru wake waweza kuwa ngapi ?
Wapo wanaotumia maji kusafirisha gari kulitoa tuu toka Johannesburg mpaka bandari ya Durban ni ghari kwa makampuni yao na pia utalipia vitu vingi pamoja na Bima...kwa bei zinavyouzwa gari SA tunaona ile punguzo ndio linatumika kusafirisha gari kutoka Joberg mpaka Tanzania..ni bora ukaendelea ku save ukawa na hela ya kutosha kuliko ukaamini utajibana hakuna msaada wowote huko bara barani na siku umepewa chache za Transit haitaji ujanja ujanja wowote kufikisha gari Tanzania zaidi ya kuendesha ndio gharama nafuu.Garama ya carrier kias gn Mkuu kwa uzoefu wako? Naomba kwa road garama kubwa mil.2 na point
Gara
Una website ya magari ya wasauthi tuyaone bei zakeWapo wanaotumia maji kusafirisha gari kulitoa tuu toka Johannesburg mpaka bandari ya Durban ni ghari kwa makampuni yao na pia utalipia vitu vingi pamoja na Bima...kwa bei zinavyouzwa gari SA tunaona ile punguzo ndio linatumika kusafirisha gari kutoka Joberg mpaka Tanzania..ni bora ukaendelea ku save ukawa na hela ya kutosha kuliko ukaamini utajibana hakuna msaada wowote huko bara barani na siku umepewa chache za Transit haitaji ujanja ujanja wowote kufikisha gari Tanzania zaidi ya kuendesha ndio gharama nafuu.
city deep auto.co.zaUna website ya magari ya wasauthi tuyaone bei zake
Kama una uwezo wa kufanya matengenezo madogo madogo kama kubadili air suspension nne kwa tzs 4m ni gari rahisi.SASA kama unayoiona hapo discover 3 ushuru hazifiki 17m
Hiyo gari ya matajiri hiyo 4 m wadau wanaongeza 2m wanapata gari safiii kabisaKama una uwezo wa kufanya matengenezo madogo madogo kama kubadili air suspension nne kwa tzs 4m ni gari rahisi.
Hiyo gari ya matajiri hiyo 4 m wadau wanaongeza 2m wanapata gari safiii kabisa
Hii ni dalili kuwa huiwezi hio gari.Badili mfumo uweke coil springs. Gharama ya kubadili sio ndogo sana ila utakaa muda mrefu bila pressure. Nadhani hata disco 4 wanabadili ila sina hakika