High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Katika website za magari discover 3 ina bei rahisi Sana tofauti na discover 4 wakati kila kitu kipo Sawa na discover 4?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu ziko sawa? Uko sure?Katika website za magari discover 3 ina bei rahisi Sana tofauti na discover 4 wakati kila kitu kipo Sawa na discover 4?
Ukiangalia Kwa umbo hahahahahahKila kitu ziko sawa? Uko sure?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hizo gari zinapishana..
Kuanzia engine na gearbox..
Interior..
Suspension na brakes..
Muonekano..!
Ndio maana bei inapishana..!
Discovery 3 ni shilingi ngapi na discovery 4 ni shilingi ngapi?Katika website za magari discover 3 ina bei rahisi Sana tofauti na discover 4 wakati kila kitu kipo Sawa na discover 4?
Haiwezekani kuwa sawa mkuu, ile discovery 4 ni habari nyingine kabisa...Katika website za magari discover 3 ina bei rahisi Sana tofauti na discover 4 wakati kila kitu kipo Sawa na discover 4?
Hata body design zimepishana pia sijui jamaa amefanisha vipiUkiangalia Kwa umbo hahahahahah
Hayo ni matoleo mawili tofauti, 4 ni latestKatika website za magari discover 3 ina bei rahisi Sana tofauti na discover 4 wakati kila kitu kipo Sawa na discover 4?
Hizi hapaDiscovery 3 ni shilingi ngapi na discovery 4 ni shilingi ngapi?
Kumbe hazina Bei hata Mimi nlijua zipo kwenye 100M, kumbe ni milioni thathini Tu hapo.. Bei ya IST mbili tu
Unadhani watu wangenunua Harrier tako la nyani kama bei ni ndogo hivyoKumbe hazina Bei hata Mimi nlijua zipo kwenye 100M, kumbe ni milioni thathini Tu hapo..Bei ya IST mbili tu
Disco 3 na 4 zipo tofauti sana kuanzia body,ndani hiyo 4 ina dashbord ya kibabe sana na pia 4 ina Confort zaidi ya 3...ukiweza kupata
Disco 3 na 4 zipo tofauti sana kuanzia body,ndani hiyo 4 ina dashbord ya kibabe sana na pia 4 ina Confort zaidi ya 3...ukiweza kupata disco 4 ya diesel V 6 auto umepata gari..
Shwari Mkuu wanachaji rand 10,000 mpaka 12,000 binafsi ila usilipe mtandaoni kuna utapeli sana gari uwepo SA ununue ndio nikutafutie dereva..sio hii ya kwenda kuchukua gari kwenye kampuni hewa..Mkuu Kwema , kunisafirisha gari hilux toka south kuja bongo sh.ngapi? Uko kwenye company au binafsi?
Na pia pana gharama za document za interpol, Sadc clearance, dot na export permit ukifatilia mwenyewe sehemu ni moja ya kulipia ila ukimtumia wakala si chini ya rand 5000... Ni muhimu kupata karatasi zote ili kuondoa usumbufu huko Botswana..Mkuu Kwema , kunisafirisha gari hilux toka south kuja bongo sh.ngapi? Uko kwenye company au binafsi?
Hiyo gharama ni pamoja na mafuta au ni nje ya mafuta.Shwari Mkuu wanachaji rand 10,000 mpaka 12,000 binafsi ila usilipe mtandaoni kuna utapeli sana gari uwepo SA ununue ndio nikutafutie dereva..sio hii ya kwenda kuchukua gari kwenye kampuni hewa..
Dereva ni wa company au binafsi?Shwari Mkuu wanachaji rand 10,000 mpaka 12,000 binafsi ila usilipe mtandaoni kuna utapeli sana gari uwepo SA ununue ndio nikutafutie dereva..sio hii ya kwenda kuchukua gari kwenye kampuni hewa..
Mkuu umenipa confidence nilikuaga naogopa hata kujua bei 😂😂😂Kumbe hazina Bei hata Mimi nlijua zipo kwenye 100M, kumbe ni milioni thathini Tu hapo..Bei ya IST mbili tu