Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

Badili mfumo uweke coil springs. Gharama ya kubadili sio ndogo sana ila utakaa muda mrefu bila pressure. Nadhani hata disco 4 wanabadili ila sina hakika
Gharama ni shilingi laki saba hivi, wakiweka spring wanaifanyia diagnosis ambapo wanaifool control box kuwa air bag zimeshajaa upepo, hivyo compressor pia inaacha kupeleka upepo. Ukisoma reviews mitandaoni, hata huko ulaya wengi hawazipendi air suspension, sawa zina starehe ila ni gharama sana kuzimantain halafu ni rahisi sana kukuzingua
 
Hii ni dalili kuwa huiwezi hio gari.

Siyo kweli labda kama hujawahi kukutana na kadhia ya air suspension, pale gari inapogoma kunyanyuka wakati una safari ya muhimu, au ghafla tu haiyanyuki. Hizo kits za coil zinatengenezwa maalum kwa hizo gari, wanajua zina soko. Ni uamuzi tu utumie more comfy but delicate air suspension au less comfy but reliable coil suspension.
 
Utazunguka sana ILA ukishsona unatoa manufacturers equipment unaweka low budget replacement ujue huliwezi hilo gari. Wenye uwezo nao Wana replace na genuine brand new air suspension wanahesabu tena miaka.
Nina mtu wangu wa karibu alibadili air compressor na air suspension nilimletea brand new from LR alitumia mpaka kauza hio gari na aliemuuzia Hadi Leo anayo hio gari nazungumzia gari namba BDD.
Mtu wangu mwingine wa karibu alikuwa na P38 RR akafuata ushauri wako kuna siku anaupiga mwingi highway likawatupa kwenye Kona walikufa ndugu wawili na yeye alikaa sana hospitali. Air suspension sio comfort tu hata usalama.
 
Issue siyo low budget, na wala si point yangu. Point yangu hapa ni reliability. Kama una mifano hiyo siyo kitu kibaya watu kujifunza ila ondoa dhana ya kuwa kila ushauri unakenga kupunguza gharama. Na ingekuwa vizuri ungeshare mtu anatumia gari kwenye mazingira gani na anatumiaje gari, pengine alikuwa ni lami tu. Yes, unacompromise comfortability kidogo ila wanaobadili air suspension si wote wanakwepa gharama
 
Reliability kwenye genuine brand new parts sio issue. Nyingi zinazofeli hizo air suspension ni zenye miaka 10 plus mfano Disco 3 ni gari zilizoanzia 2005 too old, lakini kama utafunga brand new suspension zitakaa sana.
Disco 4/ RR ni 4*4 sio off road SUV kama utaenda kuitumia off road muda wote ikapata matatizo wewe ndio mwenye tatizo.
Hata LC zipo zenye air suspension ukizitrest kama off roader itakushangaza.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sitacomment kwingine ila disco inatangazwa kama gari ya offroad pia. Usiiondolee haya majukumu hata kama ni mazito. RR ndio siwezi jaribu kuipeleka huko….
So naweza kusema kiasi fulani inapoteza maana kama kwa jinsi ilivyo kama haiwezi kwenda offroad hata occasionally kama RR
 
Utazunguka sana ILA ukishsona unatoa manufacturers equipment unaweka low budget replacement ujue huliwezi hilo gari. Wenye uwezo nao Wana replace na genuine brand new air suspension wanahesabu tena miaka.
Nina mtu wangu wa karibu alibadili air compressor na air suspension nilimletea brand new from LR alitumia mpaka kauza hio gari na aliemuuzia Hadi Leo anayo hio gari nazungumzia gari namba BDD.
Mtu wangu mwingine wa karibu alikuwa na P38 RR akafuata ushauri wako kuna siku anaupiga mwingi highway likawatupa kwenye Kona walikufa ndugu wawili na yeye alikaa sana hospitali. Air suspension sio comfort tu hata usalama.
Ajali ajali
 
Attachments

  • 20220626_112644.jpg
    20220626_112644.jpg
    63.1 KB · Views: 50
Mkuu Kwema, kunisafirisha gari hilux toka south kuja bongo sh.ngapi? Uko kwenye company au binafsi?
Mbna kma we nakufahamu mnk Kuna mtu niliongea nae kipind fln akataka sna gari kutoka South Africa hiluz
 
Je is it possible kwa meli?
Sidhani kama itakuwa ni cheap option, unless hiyo gari ununulie huko huko pwani , cape town , durban port elizabeth etc .gari nyingi zinapatikana gauteng ambapo ndio shortcut kuelekea boda nyingi za kuja huku
 
Mbna kma we nakufahamu mnk Kuna mtu niliongea nae kipind fln akataka sna gari kutoka South Africa hiluz
Ni mm Mkuu, naangalia namna ya ku import gari la miaka isiyozid 8 toyota hilux ili nilipiwe na serikali import duty ambayo ni kama 8 mil.mimi ni muajiriwa serikalini so likija kwa meli itakua rais kufatilia document ili nipate punguzo la kodi .
 
Back
Top Bottom