Pre GE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

Pre GE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu.

Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya kila sauti wakati akishonwa bila ganzi na Sugu huko Kanda ya Nyasa.
Mtaandila Sana Wakati Huu
 
Back
Top Bottom