Kwa nini Lissu hajahudhuria msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake hajawahi kumtaja Soka?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
 
Screenshot_20241212-202740~2.jpg
 
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Unatuuliza maswali ya kipumbavu!
 
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Ndio unataka kumsaidia kusema kwanini?
 
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Ukiwataja wewe inatosha,lissu kema mengi sana kuhusiana na uwepo wa utekaji na uuaji wa wanasiasa nchini,na mahali pengi vyombo vya usalama vimekua vikipiga chenga harakati za kufikisha kwenye vyombo vya sheria wahusika.
 
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Mpuuzwa wewe

View: https://youtu.be/yRDyvrJutJs?si=rrTDTeu2kWiWjvc7

Hivi malipo yalipanda au bado buku 7?
 
Mpuuzwa wewe

View: https://youtu.be/yRDyvrJutJs?si=rrTDTeu2kWiWjvc7

Umeelewa nilichoandika?
 
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Ujinga wako umeanzia hapo
 
Back
Top Bottom