Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Kuna mmoja baada ya ndugu zake kuona kapendeza kila siku simu oohh shangazi anaumwa fulani aje kumjulia hali kaenda karud hajakaa wiki ndugu mwingine anaumwa aende na yeye akisikia hivyo nguo zinapangwa za kutosha anataka lazima aende hee ikawa wanaona kuishi nae na kutufanyia kazi kama wanatufanyia msaada hivi ya nn shari tukawarudishia ndugu yao kimoja

Kakaa kwao wiki tu anajirudisha kuomba arudi kakuta mdada wa kazi mwingine akakosa pozi
 
Mwingine akienda sokon hadi mnamsahau,atakaa huko masaa manne kidogo
 
Kabla ya kuwalaumu tuanzie kwetu maboss wao
je tunatimiza wajibu wetu?
Tulipowatoa makwao tuliwaahidi mishahara
au kuwapa elimu kama ni ndugu zetu
wakishafika mjini tunawaambia mishahara tunawawekea,
kwani tuwape hela ya nini wakati wanakula,wanalala n.k.
Na hii ni kinyume na mapatano.

Sasa subirini msipobadilika mkawatendea haki
mtawakuta watoto wenu wanakula na bata au kuku,
mabandani huku wao wameishasepa.
Kila kitu unamfanyia, kama huyo wangu na corse ya kushona na kudarizi nilimtafutia na kumlipia, sasa hapo ndio akaota mapembe kabisa na kujiona yeye ndio yeye kamaliza kila kitu, alipotoka kwao hata kupika alikuwa ajui wife ndio kamfundisha, ndala siku moja alitaka kuweka kwenye fridge!
 
Hahahaa! Mkuu ndo wanavokuwa hivyo. Sijui hupatwa na nini labda huhisi wakiondoka wao hauwaweza kuishi tena!
Na ndivyo wanavyojidanganya na kudanganyika, na apate wapambe nje wanaomvuta masikio, na wakishajua kupaka matope yao usoni, wanja na suruali za kubana mama mamaaaaa, ukimtuma na ananuna na mdomo kukubinulia mfyuuuuuu!
 
Haaa haaaa, ndio maana chakula changu hupika mke wangu pekee
Sometime anapika chakula, nishamshuhudia siku moja, anapika mboga, anakohoa na kupiga chafya hapo hapo, aliniudhi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kuna mmoja baada ya ndugu zake kuona kapendeza kila siku simu oohh shangazi anaumwa fulani aje kumjulia hali kaenda karud hajakaa wiki ndugu mwingine anaumwa aende na yeye akisikia hivyo nguo zinapangwa za kutosha anataka lazima aende hee ikawa wanaona kuishi nae na kutufanyia kazi kama wanatufanyia msaada hivi ya nn shari tukawarudishia ndugu yao kimoja

Kakaa kwao wiki tu anajirudisha kuomba arudi kakuta mdada wa kazi mwingine akakosa pozi
Sawa sawa umewakomoa na kuwapatia, wao wamemwaga ugali na wewe pia umemwaga mboga, ngoma droo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mmoja nilimkuta anatoka chooni kujisaidia kisha akaenda kuchukua mchele auoshe aiseee sitaisahau hiyo siku ina maana tumekula vichafu vingi
Sometime anapika chakula, nishamshuhudia siku moja, anapika mboga, anakohoa na kupiga chafya hapo hapo, aliniudhi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kuna m1 alikuw mama huruma knoma aliwapa karibia washkaj zangu woote.Boss wke alivyoshtuka akamtimua then akamleta mwngne, huyu mpya vjana wala hawana shobo nae coz kuna mwamba wetu alimgegeda akarudi na gono....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ...MWENYE NYUMBA anamsifia kweli kwmba katulia sio km beki tatu wake wa mwanzo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wengine wanakuwa na Ukimwi kabisa, wengine wanga.
 
Dawa yao wakificha mjini wapigwe mkuyenge tu, kwani wakijanjaruka pia inakuwa ngumu kuwapata
 
Back
Top Bottom