mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Wanakuwaga kwenye familia zao, yaani ni sawa na wewe sasa hivi utoke kwenu uende kuwa house boy libya, kwahiyo wanafanya wanavyofanya sababu huwajakuwa ma beki tatu walipotoka ubeki tatu wameuanzia hapaKumbe wanakuwaje, tufafanulie mkuu.