Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Kwa nini mabeki tatu wakifika mjini wanaota mapembe!

Kumbe wanakuwaje, tufafanulie mkuu.
Wanakuwaga kwenye familia zao, yaani ni sawa na wewe sasa hivi utoke kwenu uende kuwa house boy libya, kwahiyo wanafanya wanavyofanya sababu huwajakuwa ma beki tatu walipotoka ubeki tatu wameuanzia hapa
 
Wanakuwaga kwenye familia zao, yaani ni sawa na wewe sasa hivi utoke kwenu uende kuwa house boy libya, kwahiyo wanafanya wanavyofanya sababu huwajakuwa ma beki tatu walipotoka ubeki tatu wameuanzia hapa
Vigezo na masharti lazima wazingatie.
 
Ishu huwa tight pale akishaukalia wa baba mwenye nyumba...
Wanawake wote waliojaa mjini, mpaka utembee na house girl khaaa! Huo sasa uhuni na uasherati sugu mkuu.
 
Kabla ya kuwalaumu tuanzie kwetu maboss wao
je tunatimiza wajibu wetu?
Tulipowatoa makwao tuliwaahidi mishahara
au kuwapa elimu kama ni ndugu zetu
wakishafika mjini tunawaambia mishahara tunawawekea,
kwani tuwape hela ya nini wakati wanakula,wanalala n.k.
Na hii ni kinyume na mapatano.

Sasa subirini msipobadilika mkawatendea haki
mtawakuta watoto wenu wanakula na bata au kuku,
mabandani huku wao wameishasepa.
 
Wanatingisha kibiriti


Kikijaa wanaleta drama


Kuna mmoja nilimpenda sana....

Walahi nilikuwa nampiga mshahara mrefu......weekend off..... bonus kwa wazazi wake kila baada ya miezi 2 na siku za sikukuu

Alivyoaga ghafla kama uharo....nikamwambia usijali alfajiri nikampandisha bus.....


Siku hizi daily anapiga simu za kusalimia
Hahahaa! Mkuu ndo wanavokuwa hivyo. Sijui hupatwa na nini labda huhisi wakiondoka wao hauwaweza kuishi tena!
 
Haaa haaaa, ndio maana chakula changu hupika mke wangu pekee
 
Back
Top Bottom