Mtoe kijijini alafu mlete mjini utayaona tu mapembe yake, usiwe na haraka kidogo kidogo mchunguze baada ya miaka mitatu, majibu utayapata ya hayo mapembe mkuu.Hayo mapembe mbona sijayaona
Kila kitu unamfanyia, kama huyo wangu na corse ya kushona na kudarizi nilimtafutia na kumlipia, sasa hapo ndio akaota mapembe kabisa na kujiona yeye ndio yeye kamaliza kila kitu, alipotoka kwao hata kupika alikuwa ajui wife ndio kamfundisha, ndala siku moja alitaka kuweka kwenye fridge!Kabla ya kuwalaumu tuanzie kwetu maboss wao
je tunatimiza wajibu wetu?
Tulipowatoa makwao tuliwaahidi mishahara
au kuwapa elimu kama ni ndugu zetu
wakishafika mjini tunawaambia mishahara tunawawekea,
kwani tuwape hela ya nini wakati wanakula,wanalala n.k.
Na hii ni kinyume na mapatano.
Sasa subirini msipobadilika mkawatendea haki
mtawakuta watoto wenu wanakula na bata au kuku,
mabandani huku wao wameishasepa.
Raha sana kiongozi!Chit chat Bhana
Na ndivyo wanavyojidanganya na kudanganyika, na apate wapambe nje wanaomvuta masikio, na wakishajua kupaka matope yao usoni, wanja na suruali za kubana mama mamaaaaa, ukimtuma na ananuna na mdomo kukubinulia mfyuuuuuu!Hahahaa! Mkuu ndo wanavokuwa hivyo. Sijui hupatwa na nini labda huhisi wakiondoka wao hauwaweza kuishi tena!
Sometime anapika chakula, nishamshuhudia siku moja, anapika mboga, anakohoa na kupiga chafya hapo hapo, aliniudhi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Haaa haaaa, ndio maana chakula changu hupika mke wangu pekee
Mzaramo kasema karaghabao.Ni sehemu tu ya maisha
Sawa sawa umewakomoa na kuwapatia, wao wamemwaga ugali na wewe pia umemwaga mboga, ngoma droo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja baada ya ndugu zake kuona kapendeza kila siku simu oohh shangazi anaumwa fulani aje kumjulia hali kaenda karud hajakaa wiki ndugu mwingine anaumwa aende na yeye akisikia hivyo nguo zinapangwa za kutosha anataka lazima aende hee ikawa wanaona kuishi nae na kutufanyia kazi kama wanatufanyia msaada hivi ya nn shari tukawarudishia ndugu yao kimoja
Kakaa kwao wiki tu anajirudisha kuomba arudi kakuta mdada wa kazi mwingine akakosa pozi
Na mimi hivyo hivyo, nikampigia simu siku moja anapokea mwanaume, tulimtuma sokoni.Mwingine akienda sokon hadi mnamsahau,atakaa huko masaa manne kidogo
Sometime anapika chakula, nishamshuhudia siku moja, anapika mboga, anakohoa na kupiga chafya hapo hapo, aliniudhi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Na ukishamtafuna tu anajisahau nakujiona ndo mke ndani ya nyumbaHawa beki tatu wazee wafamilia ndio wanawapa vichwa kwa sababu ya kuwatafuna
Ukimtafuna basi mwenyewe, ndio umerikoroga, wacha urinywe.Na ukishamtafuna tu anajisahau nakujiona ndo mke ndani ya nyumba
Wengine wanakuwa na Ukimwi kabisa, wengine wanga.Kuna m1 alikuw mama huruma knoma aliwapa karibia washkaj zangu woote.Boss wke alivyoshtuka akamtimua then akamleta mwngne, huyu mpya vjana wala hawana shobo nae coz kuna mwamba wetu alimgegeda akarudi na gono....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ...MWENYE NYUMBA anamsifia kweli kwmba katulia sio km beki tatu wake wa mwanzo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Noma noma noma noma.Dawa yao wakificha mjini wapigwe mkuyenge tu, kwani wakijanjaruka pia inakuwa ngumu kuwapata
nipo mpenzUpo Mrs usser
Sio kiivyoo wanamaudhiHampendi wapande vyeo?