Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #21
Mkuu wanatumia simu ndio lakini wanatumia aje your not using an encrypted phone but billionaires use kwahiyo sasa mkuu uongo upo wapi hapo ndio maana nasema kila content nnayo andika usipo soma kwa makini utanikuta wewe ndio unaona errors but ukisoma kwa makini utaelewa nini kimeandikwa kila nnachoweka humu nimefanyia research ya kutosha mkuu sasa soma tena then uniambie error Iko wapi na Mimi nitakuonesha ulipo paruka au ulipishindwa kutafsri
Kuhusu kuuzwa kwa taarifa nakubaliana nalo, ila mabilionea kuto kutumia simu ni uongo mkubwa.