Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
Kuhusu kuuzwa kwa taarifa nakubaliana nalo, ila mabilionea kuto kutumia simu ni uongo mkubwa.
Ok thanks 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻Hizo facts hazi kukufundisha kutumia alama za uandishi?, maana Ume andika Kama bata.
Hizo facts hazi kukufundisha kutumia alama za uandishi?, maana Ume andika Kama bata.
Umepinga vikaliKuhusu kuuzwa kwa taarifa nakubaliana nalo, ila mabilionea kuto kutumia simu ni uongo mkubwa.
Kwani tunabishana ? au wewe uko ktk angle ya mabishano ? Mie nataka ufafanuzi kwann wapo huko? Watanzania mbn mnajishtukia sana?Ok mkuu sorry sana sipo kwaajili ya kubishana lakini nipo kwaajili ya kuwanong'oneza wengine kwa pembeni Incase wewe ni mjuaji sana I don't have much time to conversate with you do your research ndio uje hapa sibishani kwasababu siandiki kitu ambacho hakijafanyiwa research mkuu I only deal with fact
Hahahaha na mm ndio nataka anituibitishie hilo,ujue Kuna watanzania wajinga wajinga wengi ni km huyuKuhusu kuuzwa kwa taarifa nakubaliana nalo, ila mabilionea kuto kutumia simu ni uongo mkubwa.
Read carefully brother sijasema hawatumii simu wala hawana simu ninachomaanisha ni kwamba utumiaji wako na wao ni tofauti kabisa pia unapoona account ujue sometimes kuna moderator ambaye anasimamia account wanatumia simu ila kwa namna gani nimesema hapo juu tatizo watu hamsomi mnakimbilia reply huku mkitafuta udhaifu wa hiyo written content anyway!!Billionea gani hana simu?..musk, trump,bezzos nk wanazo
Ok brother mimi sibishani na wewe mkuu tatizo sometimes we share content ambazo ni ngumu kueleweka na small minded people na kwenye masuala kama haya yakutafuta udhaifu wa content huwa sihusiki kabisa maana mtafuta udhaifu na mterm as a dumb while a great thinker always finds important point on a contentHahahaha na mm ndio nataka anituibitishie hilo,ujue Kuna watanzania wajinga wajinga wengi ni km huyu
Shida wana kopi info, Kisha wana enda ku tafsiri google.Umepinga vikali
Nime wahi kusoma andiko la namna hii, ila huyu anacho lazimisha kuki eleza ni kinyume nyume.Hahahaha na mm ndio nataka anituibitishie hilo,ujue Kuna watanzania wajinga wajinga wengi ni km huyu
Mkuu tatizo ndio hilo tunasema hapa kila siku ukiwa na akili ndogo don't interact in any of my threads pitia threads zangu alafu nenda kamtumie uyo google wako uone uliyonena ni sahihi I think because of you man tomorrow will be my last day here on JF before I move to other place 🤝Shida wana kopi info, Kisha wana enda ku tafsiri google.
halafu ana lazimisha ni facts
Sasa hiki ndio nini?, mkuu hiyo lugha haikufai.I think because of you man tomorrow will be my last day here on JF before I move to other place 🤝
Sina Cha kusema zaidi mkuu just thanks 🤝Sasa hiki ndio nini?, mkuu hiyo lugha haikufai.
tuchape kiswahili chetu kiroho safi.
namasteSina Cha kusema zaidi mkuu just thanks 🤝
Mkuu samahani kama chapisho langu lilikusababisha kutofurahi au kuchukizwa. Lengo langu halikuwa kudhihaki au kuudhi mtu yeyote. Lengo ni kubadilishana mawazo Incase machapisho yangu huku JF hayakufai sina namna zaidi ya kukaa kimya. Naitumai Kuna waungwana humu wanauelewa na Incase Kuna shida mahali either ya syntax tunajulishana maana Mimi pia ninae andika ni mwanadamu. Japo suala hili la kejeli limeniudhi sana lakini sina namna ni vyema ni interact na wadau wastaarabu na waungwana wenye hekima na mchango positive.namaste
Hahahaha,Nime wahi kusoma andiko la namna hii, ila huyu anacho lazimisha kuki eleza ni kinyume nyume.
OkOk brother mimi sibishani na wewe mkuu tatizo sometimes we share content ambazo ni ngumu kueleweka na small minded people na kwenye masuala kama haya yakutafuta udhaifu wa content huwa sihusiki kabisa maana mtafuta udhaifu na mterm as a dumb while a great thinker always finds important point on a content
Sawa nimekuelewa Mkuu , sorry km tunapishana ni mitazamo tu MkuuOk brother mimi sibishani na wewe mkuu tatizo sometimes we share content ambazo ni ngumu kueleweka na small minded people na kwenye masuala kama haya yakutafuta udhaifu wa content huwa sihusiki kabisa maana mtafuta udhaifu na mterm as a dumb while a great thinker always finds important point on a content
Hahaha, naona ume kubali yaishe bila vurugu.Sawa nimekuelewa Mkuu , sorry km tunapishana ni mitazamo tu Mkuu
Mimi sija chukia mkuu, ni vile wewe una amini uko sahihi zaidi ya wengine kwa asilimia 100.Mkuu samahani kama chapisho langu lilikusababisha kutofurahi au kuchukizwa.