Kwa nini mabilionea hawatumii Simu kama wewe? Ukweli kuhusu data na ujasusi wa Kidigitali

Brother samahani sana, lakini ni muhimu kuelewa kwamba kila mtu ana mtazamo wake na anajitahidi kuelewa mambo kwa njia yake. Sio kila mmoja anaweza kuwa sahihi kila wakati, na ni vizuri kuwa na mjadala wa kistaarabu ili tuweze kujifunza kutoka kwa kila mmoja. Tatizo watu mnakuja kwa lengo la kukosoa kilichoandikwa badala ya kurekebisha sisi ni waungwana na si vyema kuleta maneno ambayo ni inappropriate, chukulia mfano wewe ndio mwandishi logically mtu anacho uliza lengo ni ukosoaji unategemea kureact vp mkuu. Kweli hili suala halijanifurahisha hata kidogo na most content creators huwa wanaface hii challenge Nina tabia ya kutokujibu irrelevant response kama hizo hapo juu, lakini nimesema isiwe shida acha niheshimu tueleweshane watu wanakuja kwa lengo la kukosoa.
All in all bro, you might miss up important things in such a way.
 
"A wise man in an argument only reacts to correct an error, not to fuel the conflict, for his goal is clarity, not victory."
Mtoa mada, naomba mtu asikupiss off , huyu jamaa unayemsemea mkariri afu uangalie anavyojibugi kwenye threads za watu. Yani kwenye nyuzi nyingi za watu Huwa yupo hivyohivyo, alafu utakuja hapa kuniambia, ndo yuko hivyo, ni kama happiness yake ni humu JF kujibu Kwa kushambulia katika nyuzi za watu. Si unaona nimejibu hivi atakuja Kuni attack na Mimi. Be is bitter and narcissist in other people's threads. Ni kama hayuko sawa ana mashida Fulani. Sikunyingine akikujibu kwenye Uzi wako just ignore him atakuharibia siku.
 
Kuna watu mitaani wanajulikana tu Hawa NI chama fulani na Wana misimamo gani yote NI kupitia simu...unaomba kazi mahalo hauwi shortlisted unashangaa kumbe NI misimamo yako na tabia zako za hovyo mitandaoni...hata hizi green card lotary data huanza kuchakatwa kwa muombaji Ana tabia zip mitandaoni...
 
Kwa kifupi mawasiliano ya kielekitronic unayotumia ni mali ya serikali wakiyataka mda wowote wanayapata
 
Kichwa cha habari ushasema mabilionea. Alafu unatuandikia makapuku.
 
Nadhan itadepend ma mabilionea wa wapi na level gani, mabilionea wa nje story ni otherwise. Wanatumia smartphone hiz hiz but modified au zimeongezewa ulinzi

Hawa wa huku kwetu maybe hawawez afford hiyo tech maybe but it how it is

So itadepend bilionea anatokea wapi na uwezo wake
 
Sasa Mkuu sisi humu tuna nini cha kujifichaficha... Humu wengi ni shilingionea tu, hatuna kitu... Labda tuogope wasiojulikana tu pale tunapoisema VaaGamenti
 
Hii inawahusu waharifu.siyo mabilionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…