Kwa nini mabilionea hawatumii Simu kama wewe? Ukweli kuhusu data na ujasusi wa Kidigitali

Huu ushauri hauna tofauti na ushauri wa Dr Janabi. Usalama wako ni kutotumia kabisa simu au kivaa chochote kile cha kielectroniki. Ukitaka kuwasiliana na mtu umfuate au kumtuma mtu aonane naye uso kwa uso. Kinyume na hapo hakuna kujificha. Kimsingi sisi wote wenye simu ni kama wanyama wa porini waliofungwa gps tracker.
 
We ulishapata namba za simu zao kirahisi.

Mabilioner hawapendi usumbufu maana wakiwa kwenye mawasiliano kirahisi kila mtu anataka kulia shida zake.
 
Asante mkuu kwa ushauri,la msingi naloona mm kwakuwa Sisi sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi waaache watese Tu hatuwezi hofia wao wanafanyaje maana Ni kwa MDA Tu ,ila la msingi ni kuwa makini na baadhi ya taarifa zetu za siri
 
Mfano Trump, hata kutumia smartphones vizuri hajui. Mkewe Melania ndio huwa anamfundisha. Na binafsi yeye Trump hana smartphones. Anatumia hiyo ya Mkewe. Hizo tweets ni ame ajiri mtu anaemiliki hizo akaunti zake.
Trump anawasiliana kwa kutumia memos na barua za kuandika kwa mkono. Anatoa maelezo tu nini kiandikwe kwenye akaunti. Anatumia simu za mezani zaidi zaidi. Pia hana computer wala laptops na hajawahi ku miliki hivyo vifaa.
 
Mimi ni mkulima tuu wa kawaida Wacha wanitangaza,nitoke!
 
Sawa sawa mie nikiona unaanza kutoka nje ya Mada Kwa kukashifu watu nakuaga fasta
 
Tunapishana nao kweli ulinzi wa taarifa binafsi.
Wengi watu hatujali ulinzi, na si ajabu ni kweli wanatumia banner phones maana kila leo watu watatanani wajue wanawasiliana na nani.
 
Hadi sasa hakuna simu au kifaa cha mawasiliano kilicho salama kwa mtumiaji kwa 100%. Hapa chini ni namna US walivyokuwa wanafuatilia mawasiliano ya mshirika wao Ujerumani toka 2002-2013

 
Watu wa hivyo hawakosekani hata uwe vizuri kiasi gani Kuna watu ambao wao lengo watakuja kwa lengo la kukosoa ukiangalia hata kwenye profile za watu wakubwa wanaface hiki kitu sana.
 
Yeah ila naona walikuja na huu mfumo wa decentralized platforms angalau itasaidia kulinda taarifa za watu.
Mark Zuckerberg kinachomtajirisha ni user data na aliwahi kusema mwenyewe mwaka huu naona kampuni yao ilitaka kujitoa kwenye uo mfumo.
 
Wakusanye tu hizo taarifa kama zitawasaidia.
😂Ndio zinawasaidia ku display ads kwenye platform za watu wengine ni kama Whatsapp inaingiza pesa nyingi kuliko Facebook kwasababu mfano tunachat kuhusu nguo mpya tayari taarifa ilishachukiliwa Facebook utakutanag na nguo ndio hiyo tunaita selling user data.
 
Duck duck go, usalama wake uko vipi?
Duck go is safe
1. No Tracking Kama Google
2. No Personalized Ads Not Similar To Google.
3. Encrypted Connections.
4. Blocks Trackers.
5. Private Search.
 
Duck duck go, usalama wake uko vipi?
Duck go is safe
1. No Tracking Kama Google
2. No Personalized Ads Not Similar To Google.
3. Encrypted Connections.
4. Blocks Trackers.
5. Private Search.
 
Kwahy Elon Musk ,Mo Dewji na wengine wnavyotuma post ktk account zao hawajui haya au hawatumii smartphone?
Mtandao wa X uliwahi kutumika kumuangusha Trump na baada ya hapo Trump aliamua kuanzisha mtandao wake wa Truth. Trump amerudi X baada ya Elon Musk kuinunua Twitter.

Elon Musk anajiamini kutumia mtandao wa X maana ni mtandao wake.Na anafanya hivyo ili kuupromote aendelee kupata pesa zinazozalishwa na mtandao huo.
 
sizani kama nina ndoto ya kuwa bilionea kwani hata uwo ubilionea ni utumwa.

am happy with my life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…