Kwa nini mabilionea hawatumii Simu kama wewe? Ukweli kuhusu data na ujasusi wa Kidigitali

Mimi huwa situmii mitandao mingi.Huwa situmii facebook,situmii X(twitter), situmii instagram, situmii telegram, situmii TikTok, situmii You tube. Habari nyingi ninazozipata kutoka kwenye mitandao hiyo ni zile ambazo huwa zinaletwa kwenye majukwaa ya JamiiForums.

Mimi huwa niko active kutumia mtandao wa JamiiForums peke yake. Whatsapp huwa natumia kwa kuji-limit;huwa natumia whatsapp kwa ajili ya kuweka status za whatsapp tu.

Hali hii huwa inanipa utulivu sana wa kufanya mambo yangu na yanaenda vizuri.Ila bado sijafikia level za kuwa bilionea wa dollar πŸ’΅ πŸ’°. Labda nikifikia at the age of 40s Mungu akipenda nami nitakuwa tayari nimesha kuwa bilionea wa Dollars πŸ’΅ πŸ’°.
 
Nafikiri unazungumzia matumizi

Lakini matajiri wengi wanatumia simu na Mitandao ya kijamii sio pungufu ya masaa mawili kwa Siku

Kina Elon nafikiri hutumia zaidi ya hapo.

Ishu ni je matumizi ya simu yanakunufaishaje?
 
Sawa ndio tabia zetu hizo...
 
Kuna watu watateseka wakati siyo mabilionea🀣🀣
 
Usizile mkuu mbona kawaida Sanaa kupata dislikes humu
 
Usizile mkuu mbona kawaida Sanaa kupata dislikes humu
Si kila mtu utaweza kuungana nae kwa urahisi; wengine lengo lao ni kukosoa na kutoa maoni hasi. Wakati mwingine, ni vyema kuwa na ustaarabu, kwani hiyo ndiyo asili ya binadamu – watu hutoa maoni kwa namna tofauti, lakini wewe chagua kuwa na amani ndani yako.
 
Ni kweliii, lakini hizi ni comments za kawaida mno humu jukwaani mfano akina Natafuta Ajira na Zemanda huwa wanatoa mada za kuwasanua wanaume lakini Bado wanapingwa vikali na wanaume hao hao lakini hawakati tamaaa ya kuendeleza kuwaelimisha wenzao

Hivo mkuu chukulia kwamba ni kawaida TU, kwanza hata wakibisha hawakujui na hawaathiri chochote kwako
 
Duck go
1. No Tracking Kama Google
2. No Personalized Ads Not Similar To Google.
3. Encrypted Connections.
4. Blocks Trackers.
5. Private Search.

Duck go is safe
1. No Tracking Kama Google
2. No Personalized Ads Not Similar To Google.
3. Encrypted Connections.
4. Blocks Trackers.
5. Private Search.
Hizi ni info wanazokusanya hawa duck duck go...
 
Swali ni unafanya nini cha ajabu ambacho kikijulikana ni tatizo? Kama hakuna usijinyime exposure kwa hofu zisizo na maana.
 
Yeah kwa watu wa kawaida we don't have problem na pia ni product wa Google na meta

Kila binadamu ni soko sehemu fulani hata asipokuwa na simu. Tech ni biashara kama ilivyo biashara ya pweza na kachori. Musk akienda kununua boksa yeye ni soko la muuza boksa.
 
Kila binadamu ni soko sehemu fulani hata asipokuwa na simu. Tech ni biashara kama ilivyo biashara ya pweza na kachori. Musk akienda kununua boksa yeye ni soko la muuza boksa.
Ni kweli mkuu πŸ’― πŸ’― πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…