Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
PoaaMambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaaMambo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sio kila chakula kinafaa kuliwa vingine unabidi uviweke kiwe kiporo[emoji14] [emoji14] [emoji14]Sasa mbona hujagegeda
Kuna wenzie wanaitwa hunters au guaranaa nawaelewa sana watamu kama savannah!!Hivi kwa nini hii bia inapendwa na mademu wengi?
Wapenda shoo za kibabe utawajuwa tu,Yan una taka kujuwa jinsi gan mwenzio alikuwa akipinduliwa pinduliwa,na ww tusimulie ya kwako tukiwa bado tuna subiri ya huyo mwenzio...Hebu nisimulie kilichofataaa
Bravo...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.
Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.
Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Hebu nisimulie kilichofataaa
Hivi kwa nini hii bia inapendwa na mademu wengi?
Naomba nikununulieNinavyoipenda savannah sasa.
Au Namaqua whine hatari hatari
Inalewesha?Ni nzuri sana
Ulipotelea wapi wewe??Naomba nikununulie
ulitaka aanze kung'ata vidole[emoji3] alafu mwisho akwambie nichagulie mirinda nyeusi au njano...Some yrs back niliendaga Mweka, Moshi (Kule kwenye kile chuo cha wildlife), jioni kwenye mizunguko nikapata kimwana mmoja matata sana tukaenda Bar moja na wakati naweka order nikamuuliza utatumia nini wewe? Aisee akajibu fasta mzinga wa Konyagi na club soda!! nikasema leo kazi ipo.