Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unanunuwaga au za offer?Ninavyoipenda savannah sasa.
Au Namaqua whine hatari hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanunuwaga au za offer?Ninavyoipenda savannah sasa.
Au Namaqua whine hatari hatari
Ha ha haKuna mmoja huku kaniganda anataka Balimi,
Ngapi unalewa chakaliMi naipenda kwasababu ni tamu, ila ni Kali ina alcohol nyingi
We una onaje??Unanunuwaga au za offer?
Me i'm ok ndugu, but Relato is sick...
Halafu ukifeli mtihani unakata rufaa mtihani wako usahishwe upya wakati hukusoma instructions.We una onaje??
Namaqua elfu 10-16, savannah elfu 3500, sehemu za starehe elfu 6000 mpaka elfu 8000.
Dah your friend pole sana na umpe pole pia namuombea apone harakaMe i'm ok ndugu, but Relato is sick...
As long as kuna option ya kukata rufaa.. That is.Halafu ukifeli mtihani unakata rufaa mtihani wako usahishwe upya wakati hukusoma instructions.
Polee sana. Nimekutag somewhere nimeelezea hali yake.Dah your friend pole sana na umpe pole pia namuombea apone haraka
Ata mimi ni lilala wiki kwa kuumwa
Asante ngoja nikaone hukoPolee sana. Nimekutag somewhere nimeelezea hali yake.
Yaani hujamgegeda?...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.
Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.
Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Aisee notfcation bado haija fika etPolee sana. Nimekutag somewhere nimeelezea hali yake.
Yaani hujamgegeda?
Yani huwezi kugegeda asubuhi? Au ni mimi sijakuelewa?...Mkuu hata kufika Guest salama nilishukuru, na nilipogusa kitanda tuu sikugeuka till asubuhi alipokuja kunigongea, sijui ningemgegedaje hapo. Achana kabisa na bapa aisee....
....Hahaaaa nilizoea hawa wa town wa cattle light baridi, red bull, Redds ya kopo and the like. But huyu alikuwa kiboko, tena hana wasi wasi au labda aseme lete Konyagi ndogo nooo...ulitaka aanze kung'ata vidole[emoji3] alafu mwisho akwambie nichagulie mirinda nyeusi au njano
Ninavyoipenda savannah sasa.
Au Namaqua whine hatari hatari
Ndio inakileviInalewesha?
Yani huwezi kugegeda asubuhi? Au ni mimi sijakuelewa?