Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Hata wanaume tuna piga savannah hasa kama ulikuwa mtu wa vino kkwa sana na iko vizuri tu kwa wa bata like you replace vino in a way!
 
Bravo
 
Nimekumbuka mdogo wangu kila akinitumiaa picha yupo bar lazma savanna iwepo na anapenda kunywea kwenye glass za kishingo
 
Mi naipenda kwasababu ni tamu, ila ni Kali ina alcohol nyingi
 
ulitaka aanze kung'ata vidole[emoji3] alafu mwisho akwambie nichagulie mirinda nyeusi au njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…