Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

maybe kiasili maji yana ladha ya uchungu. lifanyiwe uchunguzi ilo
 
Mi pia nataka kujua kwanini ukitafuna dagaa mkavu na karanga mbichi kwa pamoja vinakua na ladha ya harage bichi
 
Nanasi lina enzyme inaitwa bromelain ambayo inatabia ya kuharibu ile sehemu ya juu ya ulimi, hii husababisha zile sehemu za ulimi ambazo pia zinahusika na kutafsiri radha ya chakula(taste buds) kuathirika kidogo, ndio mana unaona maji yanakuwa machungu, sio maji tu almost vyakula vingi vinabadilika radha baada ya kula nanasi lakini maji ndo common.
 
Back
Top Bottom