Pamoja na hayo ila mbeya 😃😃😃Hata Mwanza, Dar, Arusha na Dodoma hakuna.
Watendaji na wanasiasa wao hawana ubunifu na kujiongeza wala kujifunza kwa wenzao pia kutokuwa na vifaa vya kudumu vya kuhifadhi takataka kutokana na bajeti imara/bajeti yake kufanyiwa wizi/ufisadi.Kama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
Labda kama hujui maana ya jijiTanzania kuna miji iliyo changamka ha kuna majiji
Hiki kitu nacho kinaniuma sana. Hata kama nchi yetu ni masikini lakini hakuna sababu ya kuifanya iwe chafu. Unaweza kuwa na nchi masikini na bado ikawa safi kama RwandaKama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
Siyo miji kuna vijiji vilivyochangamkaTanzania kuna miji iliyo changamka ha kuna majiji
labda we mgeni dustibin zilipofungwa mkaharibu ulikuwa umezaliwa au haujaamia nchiniKama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
Dustbin pekee hazitoshilabda we mgeni dustibin zilipofungwa mkaharibu ulikuwa umezaliwa au haujaamia nchini
Tanzania hamna takatakaKama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??