Kwa nini majiji ya Tanzania hayana Dustbin za takataka mitaani?

Kwa nini majiji ya Tanzania hayana Dustbin za takataka mitaani?

zamani zilikuwepo na ni miji karibia yote ilikuwa misafi na yenye mpangilio until ((they)) took over, angalia jinsi walivyo-destroy moshi town, miaka yote moshi ilikuwa ni mfano wa miji bora kwa usafi siuoy nchi tu bali eneo lote eneo lote la am sasa hivi wamegeuza dampo, mwanza city kuna kipindi pia walikuwa wanajaribu sana usafi walikuwa namba 2 baada ya moshi.

kwanza hata mashindano ya usafi wa miji nchini yaliyokuwepo yamekufa/wameua sijayasikia tena tangia ((they)) wapore power au labda bado yapo na nimepitwa tu.

moshi town kwa niaba ya wwf before ((they)) took over and destroy ...

 
Hata wakiweka nani atapita kuyabeba?
Au watabeba hata bin yenyewe
Tatizo ni ustaarabu wengi hawana
Na pia inahitaji usimamizi mkubwa wa usafi
 
Back
Top Bottom