Kwa nini majike tu?

Kwa nini majike tu?

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
791
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!
 
ndivyo walivyoumbwa!
mimi sijawahi kuuona mshahara wa wife,na kila siku hela nampa!
 
Ntaongea na dada awe anakuonyesha. Mi wa wife huwa namsaidiaga kuutumia. Pale kaunta yetu huwa namwaga sana visenti vyake. Inategemea n'tu na n'tu kama anavosemaga binamu fidel
 
ebana siku moja kuna jamaa nilimpa jibu akawa mpole balaaaa!.
jamaa alikua anapita anaomba pesa bar, sasa alipofika meza yetu (nilkua na wifi/shemeji yenu!) nikamwambia sina, mshkaji mwenyewe alikua teja, sasa akasema 'sawa bwana mie mwanaume mwenzako unaninyima, lakini huyo demu hapo akikuomba tu utampa', nikamjibu 'sasa yeye si ananipaga mambo flani, au na wewe unataka unipe?', mshkaji hakujibu kitu huyoooooo akasepa.
........heheheee, back to the topic, YES OFFCOURSE WANAWAKE WANAPENDA SANA KUPEWA, MITEREMKO WANAPENDA sasa tutafanyaje na ndio hivyo tena nature ilivyo!.
 
ndivyo walivyoumbwa!
mimi sijawahi kuuona mshahara wa wife,na kila siku hela nampa!

Wakina nani hao ndivyo walivyoumbwa? Geoff hayo maneno ni ya kweli kaka,ina maana yeye hachangii chochote hapo ndani? maana unasema kila siku unamapa hela,nawe kwa nini huulizi mshahara uko wapi? maana navyoelewa kama mnaishi pamoja ikifika mwisho wa mwezi kila mmoja analeta alichopokea huko ofisini kwake sasa inakuwaje wewe useme hujawahi kuona mshahara? naomba ufafanuzi.
 
nikidhani cku hizi ni 50-50 mana wakaka nao wanalelewa pia na ma mama....
 
ebana siku moja kuna jamaa nilimpa jibu akawa mpole balaaaa!.
jamaa alikua anapita anaomba pesa bar, sasa alipofika meza yetu (nilkua na wifi/shemeji yenu!) nikamwambia sina, mshkaji mwenyewe alikua teja, sasa akasema 'sawa bwana mie mwanaume mwenzako unaninyima, lakini huyo demu hapo akikuomba tu utampa', nikamjibu 'sasa yeye si ananipaga mambo flani, au na wewe unataka unipe?', mshkaji hakujibu kitu huyoooooo akasepa.
........heheheee, back to the topic, YES OFFCOURSE WANAWAKE WANAPENDA SANA KUPEWA, MITEREMKO WANAPENDA sasa tutafanyaje na ndio hivyo tena nature ilivyo!.

hapo hapo ndy pabaya, niliwahi kushuhudia ugonvi wa mshakji mmoja na mkewe (ndoa ya kishkaji) Jamaa alikuwa na biashara inamlipa vzr, wakakorofishana na demu, demu akakomba kila kitu wakati mshkaji hayupo! kisha akarudi kumsubir........mshkaji anauliza vp mbona umeondoka na vitu vyangu "mpaka friji?" demu anabetua midomo "eee..kwani ulikuwa unanifanya bure?" ilishawahi kutokea mademu wangu kadhaa enzi sijaoa, wakawa wananito kishenzi vipesa, vocha zawadi nk, lakini kumbe wanawekeza...baada ya muda unaskia nikopeshe milioni 6 biashara yangu imeroga!! mwe mwe mweh, ukimkopesha tu umeliwa!!
 
Hivi hivyo ambavyo mnawapa wanawake huwa wanawaomba au ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa?
 
hapo hapo ndy pabaya, niliwahi kushuhudia ugonvi wa mshakji mmoja na mkewe (ndoa ya kishkaji) Jamaa alikuwa na biashara inamlipa vzr, wakakorofishana na demu, demu akakomba kila kitu wakati mshkaji hayupo! kisha akarudi kumsubir........mshkaji anauliza vp mbona umeondoka na vitu vyangu "mpaka friji?" demu anabetua midomo "eee..kwani ulikuwa unanifanya bure?" ilishawahi kutokea mademu wangu kadhaa enzi sijaoa, wakawa wananito kishenzi vipesa, vocha zawadi nk, lakini kumbe wanawekeza...baada ya muda unaskia nikopeshe milioni 6 biashara yangu imeroga!! mwe mwe mweh, ukimkopesha tu umeliwa!!

he kuna biznes ya kukopeshana kwa wapenzi?....
 
Wanaume tuache kuokoteza huko mitaani, wamitaani ndio waombaji wakubwa. Demu mwenye kazi mara nyingi haombi, anachangia, ukiagiza bia yeye anaagiza nyama hapo ngoma draw. Lakini kwa wenzangu mie, mbona mwanaume utakoma, yeye kumpata mwanume ni sawa na ATM kama wanavyoita, sasa uko tayari uitwe ATM?? kazi kwenu midume
 
Mh jamani kwanza topic tu imenimaliza nguvu nilijua anazungumzia ng'ombe kumbe sie ! mwe

haya but nadhani hii inatokana na malezi pia mtoto wa kike anavyolelewa analelewa kwa staili ya hawezi kitu zaidi ya kudeka sasa hii inakua ikichangiwa na tabia zenu ninyi wanaume za kutuzoesha mali hebu sema mwanaume gani ambaye wakati anatongoza humruhusu bibiake kulipia huduma yoyote? si huwa mnahofia kuonekana hamna mkwanja?! Dada akitaka kulipia tax unamwambia aache tu, asipokubeep siku nzima unamgea vocha sasa je kw anini asijenge mazoea? Mnayafuga wenyewew kisha mwajalalamika!!
 
Binamu inaelekea hii thread imekukuna sana. Umeikomalia kinoma.

Binamu nashangaa sana mnaposema tunapenda kupewa,wakti huwa hatuombi chochote ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa,sijaomba voucher unanitumia,mara ufungashe mazawadi uniletee nimekuomba? mimi nadhani hapa tuanzishe thread nyingine isemayo kuwa kwa nini wanaume wanapenda kutoa vitu kama voucher,pesa kwa wanawake wakati hawajaombwa?
 
Mh jamani kwanza topic tu imenimaliza nguvu nilijua anazungumzia ng'ombe kumbe sie ! mwe

haya but nadhani hii inatokana na malezi pia mtoto wa kike anavyolelewa analelewa kwa staili ya hawezi kitu zaidi ya kudeka sasa hii inakua ikichangiwa na tabia zenu ninyi wanaume za kutuzoesha mali hebu sema mwanaume gani ambaye wakati anatongoza humruhusu bibiake kulipia huduma yoyote? si huwa mnahofia kuonekana hamna mkwanja?! Dada akitaka kulipia tax unamwambia aache tu, asipokubeep siku nzima unamgea vocha sasa je kw anini asijenge mazoea? Mnayafuga wenyewew kisha mwajalalamika!!

Kwanza habari za siku nyingi, naona umerudi kwa speed.

Mj1, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. lakini mmezidi (wewe haumo). Mademu wanaomba mno, mwanaume ukitongoza na ukakubaliwa subiri baada ya siku hasa baada ya kupewa ulichoomba, utasikia simu yangu imeibiwa siwezi tene kuwasiliana na wewe (anaomba simu ya sh.200,000/-), mara mama mgonjwa anahitaji dawa na hela sina (hapo umegeuka buzi), mara gauni yangu ile nzuri inabana sana (anahitaji mwenda shopping). Sasa ingawa unasema midume tumewazoesha hivyo hapana wamezidi na kwa kipindi hiki ndio basi tunafuatwa kama swala hahahhahahh
 
Binamu nashangaa sana mnaposema tunapenda kupewa,wakti huwa hatuombi chochote ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa,sijaomba voucher unanitumia,mara ufungashe mazawadi uniletee nimekuomba? mimi nadhani hapa tuanzishe thread nyingine isemayo kuwa kwa nini wanaume wanapenda kutoa vitu kama voucher,pesa kwa wanawake wakati hawajaombwa?

thubutu siwezi kununua hiyo kitu.
 
mshahara wa waifu huwa nausikia tu bombani!lakini sina namna.ninachotaka kwake ni mapenzi tu.na ili nimaintain mapenzi lazima nihakikishe ninamaintain social-harmony!she must be happy
 
Kwanza habari za siku nyingi, naona umerudi kwa speed.

Mj1, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. lakini mmezidi (wewe haumo). Mademu wanaomba mno, mwanaume ukitongoza na ukakubaliwa subiri baada ya siku hasa baada ya kupewa ulichoomba, utasikia simu yangu imeibiwa siwezi tene kuwasiliana na wewe (anaomba simu ya sh.200,000/-), mara mama mgonjwa anahitaji dawa na hela sina (hapo umegeuka buzi), mara gauni yangu ile nzuri inabana sana (anahitaji mwenda shopping). Sasa ingawa unasema midume tumewazoesha hivyo hapana wamezidi na kwa kipindi hiki ndio basi tunafuatwa kama swala hahahhahahh
fugwe mimi mzima bukheri. Aksante kwa kunijulia khali

Ni kweli kizazi hiki cha sasa halii hii imezidi but kumbuka kuwa hata kwa wanaume siku hizi hali naona imekuwa ngumu kwani nao wanapiga pini kishenzi ingawa ni wagumu kuadmit!!

Hebu jaribuni hii -ukitongoza jaribu kuuza maneno matupu na usimjengee upenyo wa kuwa tegemezi- akisema simu imeibiwa mwambie duh pole sana mpenzi wangu itabidi uwe unatumia za kibandani hadi hapo utakapopata nyingine -kumbuka neno UTAKAPOPATA nyingine sio nitakapokununulia nyingine! Akisema mama mgonjwa muulizie kuhusu ndugu zake kama kaka, dada au hata wajiomba na baba wadogo wamefanya jitihada gani za kumpeleka hospitali kisha malizia na Poleni sana msikate tamaa muhudumieni tu na MUNGU atamponya.

Fanya hayo kwa miezi miwili-kama hana tamaa na ana penzi la dhati basi atabakia kwako.
 
Mi kwa kweli sikubaliani na hilo, tatizo ni jinsi unavyomlea demu/mkeo ndivyo hivyo itakavyokuwa siku zote, ukimlea kwa kumpa mkwanja basi utatoa mpaka utakoma, lkn km mkizoeshana kupeana wala haina neno, siku akiwa nazo anakupa nawe ukiwa nazo unampa, kwa mfano mi na mke wangu tunagawana japo yeye anapata nyingi kuliko mimi!
 
Binamu nashangaa sana mnaposema tunapenda kupewa,wakti huwa hatuombi chochote ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa,sijaomba voucher unanitumia,mara ufungashe mazawadi uniletee nimekuomba? mimi nadhani hapa tuanzishe thread nyingine isemayo kuwa kwa nini wanaume wanapenda kutoa vitu kama voucher,pesa kwa wanawake wakati hawajaombwa?

Upande mwingine wa shilingi. Kwanini na nyie hamtoi hivyo vitu kwa wanaume? Yaani mpewe nyie tu? Inakuwa kama mzazi kwa mtoto. We unapompa mtoto wako zawadi bila kukuomba inakuwaje hapo? Je inawezekana kuwa mwanamke kwa mwanaume ni sawa na mtoto kwa mama yake?
 
Back
Top Bottom