ndivyo walivyoumbwa!wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara losheni!
mkitoka auti kulipa bill tu mziki!....si wasomi, si wa uswahilini!
ndivyo walivyoumbwa!
mimi sijawahi kuuona mshahara wa wife,na kila siku hela nampa!
ndivyo walivyoumbwa!
mimi sijawahi kuuona mshahara wa wife,na kila siku hela nampa!
ebana siku moja kuna jamaa nilimpa jibu akawa mpole balaaaa!.
jamaa alikua anapita anaomba pesa bar, sasa alipofika meza yetu (nilkua na wifi/shemeji yenu!) nikamwambia sina, mshkaji mwenyewe alikua teja, sasa akasema 'sawa bwana mie mwanaume mwenzako unaninyima, lakini huyo demu hapo akikuomba tu utampa', nikamjibu 'sasa yeye si ananipaga mambo flani, au na wewe unataka unipe?', mshkaji hakujibu kitu huyoooooo akasepa.
........heheheee, back to the topic, YES OFFCOURSE WANAWAKE WANAPENDA SANA KUPEWA, MITEREMKO WANAPENDA sasa tutafanyaje na ndio hivyo tena nature ilivyo!.
........heheheee, back to the topic, YES OFFCOURSE WANAWAKE WANAPENDA SANA KUPEWA, MITEREMKO WANAPENDA sasa tutafanyaje na ndio hivyo tena nature ilivyo!.
Hivi hivyo ambavyo mnawapa wanawake huwa wanawaomba au ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa?
hapo hapo ndy pabaya, niliwahi kushuhudia ugonvi wa mshakji mmoja na mkewe (ndoa ya kishkaji) Jamaa alikuwa na biashara inamlipa vzr, wakakorofishana na demu, demu akakomba kila kitu wakati mshkaji hayupo! kisha akarudi kumsubir........mshkaji anauliza vp mbona umeondoka na vitu vyangu "mpaka friji?" demu anabetua midomo "eee..kwani ulikuwa unanifanya bure?" ilishawahi kutokea mademu wangu kadhaa enzi sijaoa, wakawa wananito kishenzi vipesa, vocha zawadi nk, lakini kumbe wanawekeza...baada ya muda unaskia nikopeshe milioni 6 biashara yangu imeroga!! mwe mwe mweh, ukimkopesha tu umeliwa!!
Binamu inaelekea hii thread imekukuna sana. Umeikomalia kinoma.
Mh jamani kwanza topic tu imenimaliza nguvu nilijua anazungumzia ng'ombe kumbe sie ! mwe
haya but nadhani hii inatokana na malezi pia mtoto wa kike anavyolelewa analelewa kwa staili ya hawezi kitu zaidi ya kudeka sasa hii inakua ikichangiwa na tabia zenu ninyi wanaume za kutuzoesha mali hebu sema mwanaume gani ambaye wakati anatongoza humruhusu bibiake kulipia huduma yoyote? si huwa mnahofia kuonekana hamna mkwanja?! Dada akitaka kulipia tax unamwambia aache tu, asipokubeep siku nzima unamgea vocha sasa je kw anini asijenge mazoea? Mnayafuga wenyewew kisha mwajalalamika!!
Binamu nashangaa sana mnaposema tunapenda kupewa,wakti huwa hatuombi chochote ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa,sijaomba voucher unanitumia,mara ufungashe mazawadi uniletee nimekuomba? mimi nadhani hapa tuanzishe thread nyingine isemayo kuwa kwa nini wanaume wanapenda kutoa vitu kama voucher,pesa kwa wanawake wakati hawajaombwa?
fugwe mimi mzima bukheri. Aksante kwa kunijulia khaliKwanza habari za siku nyingi, naona umerudi kwa speed.
Mj1, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. lakini mmezidi (wewe haumo). Mademu wanaomba mno, mwanaume ukitongoza na ukakubaliwa subiri baada ya siku hasa baada ya kupewa ulichoomba, utasikia simu yangu imeibiwa siwezi tene kuwasiliana na wewe (anaomba simu ya sh.200,000/-), mara mama mgonjwa anahitaji dawa na hela sina (hapo umegeuka buzi), mara gauni yangu ile nzuri inabana sana (anahitaji mwenda shopping). Sasa ingawa unasema midume tumewazoesha hivyo hapana wamezidi na kwa kipindi hiki ndio basi tunafuatwa kama swala hahahhahahh
Binamu nashangaa sana mnaposema tunapenda kupewa,wakti huwa hatuombi chochote ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa,sijaomba voucher unanitumia,mara ufungashe mazawadi uniletee nimekuomba? mimi nadhani hapa tuanzishe thread nyingine isemayo kuwa kwa nini wanaume wanapenda kutoa vitu kama voucher,pesa kwa wanawake wakati hawajaombwa?
thubutu siwezi kununua hiyo kitu.