Kwa nini Makato ya Benki ni makubwa sana?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.

Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
 
9
Polesan mkuu
 
Mmmh

Wanaikata kivip ? Ni fee? Au ni nini?

Pia fika Benki kwa maelezo zaidi

Ni Fees ila ni kubwa

Nilitoa 12mil wakakata 19,964/
Nikaona kama wananiibia, nikaamua anza enda dirishani kusubiri wakanambia mkato ni yale yale
Nikatoa tena nikaona hawana tofauti kwa wakala na ndani kwa kiwango tajwa.

Sasa ikabidi nifatilie kwenye boards zao ndo nikasema kumbe huwa twaingia hasara bila kujua na mabenki yanatangaza faida kubwa
 
Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,

Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.

Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.

Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,

Ila mkuu wew ukinikopesha mim 14.5M utanidai nikulipe kias gan ndan ya miaka 8

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.

Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
Hongera Mkuu kwa kuwa na mzunguko wa pesa wakati wengine hiyo 100K ndio mshahara wa mwezi.
Lakini umesahau kulipia tangazo.
 
Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,

Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.

Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.

Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,
Mikopo ya kibenki ni ya kinyoyaji sana , kama sio kwaajili ya biashara (iliyokomaa) siwezi kumshauri mtu kukopa.
 
Yaani sie bodaboda ndio hatukopesheki kabisaaa...wanatutenga sana hawa watu wa benki.
Mtu una urithi wa viwanja na nyumba lakini hawakupi mkopo kisa sina salary slip
 
Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.

Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
Lingekuwa swala la kuhatarisha uwepo wao madarakani wasingekaa kimya ila lingechukuliwa hatua mapema sana.

Ila kwakuwa ni swala ambalo halina athari kwao zaidi ya kugawana faida na mabenki baada ya huo unyonyaji utaskia habari za fata katiba na sheria acha uduanzi!
 
Ukizungusha pesa zako katika biashara na kusimamia vizuri ni bora kuliko kuweka benki. Ila kama huna uhakika na biashara wape benki wao wazungushe, ila uwalipe kwa kukutunzia fedha.
 
Sasa mkuu umetoa 12m umekatwa elf 19, ulitaka ukatwe shingapi?

Jichanganye kwenye ma mpesa humo uone makato yao, unaweza lia
 
Mmmh

Wanaikata kivip ? Ni fee? Au ni nini?

Pia fika Benki kwa maelezo zaidi
Nishaulizia benki ila maelezo yao si sawa, haiwezekani ukate 28,000kwenye kutoa 20mil
Gharama ni kubwa sana na ndio maana wanatangaza faida kubwa kila siku kumbe wanatuumiza watumiaji
 
Hongera Mkuu kwa kuwa na mzunguko wa pesa wakati wengine hiyo 100K ndio mshahara wa mwezi.
Lakini umesahau kulipia tangazo.
Usiamini kila kitu ni tangazo, acha fikra za kimasikini
 
Back
Top Bottom