Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
9Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.
Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.
Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
Ni Fees ila ni kubwaMmmh
Wanaikata kivip ? Ni fee? Au ni nini?
Pia fika Benki kwa maelezo zaidi
Ni Fees ila ni kubwa
Nilitoa 12mil wakakata 19,964/
Nikaona kama wananiibia, nikaamua anza enda dirishani kusubiri wakanambia mkato ni yale yale
Nikatoa tena nikaona hawana tofauti kwa wakala na ndani kwa kiwango tajwa.
Sasa ikabidi nifatilie kwenye boards zao ndo nikasema kumbe huwa twaingia hasara bila kujua na mabenki yanatangaza faida kubwa
Ila mkuu wew ukinikopesha mim 14.5M utanidai nikulipe kias gan ndan ya miaka 8Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,
Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.
Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.
Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,
Hongera Mkuu kwa kuwa na mzunguko wa pesa wakati wengine hiyo 100K ndio mshahara wa mwezi.Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.
Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
Mikopo ya kibenki ni ya kinyoyaji sana , kama sio kwaajili ya biashara (iliyokomaa) siwezi kumshauri mtu kukopa.Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,
Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.
Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.
Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,
Kasahau kulipia tangazo la nini??Hongera Mkuu kwa kuwa na mzunguko wa pesa wakati wengine hiyo 100K ndio mshahara wa mwezi.
Lakini umesahau kulipia tangazo.
Anakatwa 100K kwa wiki kutokana na shughuli zake.Kasahau kulipia tangazo la nini??
Lingekuwa swala la kuhatarisha uwepo wao madarakani wasingekaa kimya ila lingechukuliwa hatua mapema sana.Hebu tujadili makato ya Bank maana ni makubwa, binafsi nakatwa zaidi ya 100,000 kila wiki kutokana na shughuli zangu.
Je serikali haioni sababu ya kuingilia hili swala?
M-pesa ada ya kutoa million 12 n elfu kumi na sita.Sasa mkuu umetoa 12m umekatwa elf 19, ulitaka ukatwe shingapi?
Jichanganye kwenye ma mpesa humo uone makato yao, unaweza lia
Nishaulizia benki ila maelezo yao si sawa, haiwezekani ukate 28,000kwenye kutoa 20milMmmh
Wanaikata kivip ? Ni fee? Au ni nini?
Pia fika Benki kwa maelezo zaidi
Hizo ni account za wasiofanya biasharaMkuu crdb naona wanatangaza account yao ya hodari wanasema Haina makato ebu wacheki li Hodari Account