Kwa nini Makato ya Benki ni makubwa sana?

Kwa nini Makato ya Benki ni makubwa sana?

Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,

Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.

Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.

Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,
apo picha linaanza ukiomba iyo 14.5 km una bahati sana watakupa 11 au 12 tu ilobaki watakuambia inabaki kwao kama ada ya uo mkopo.

usipanik mkuu mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
 
Yaani sie bodaboda ndio hatukopesheki kabisaaa...wanatutenga sana hawa watu wa benki.
Mtu una urithi wa viwanja na nyumba lakini hawakupi mkopo kisa sina salary slip
sa si utaenda kutmbea mkopo😁
 
Back
Top Bottom