Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Sawa tajiri! Ww waza kitajiri mm nawaza kimasikikini kuna shida bado??Usiamini kila kitu ni tangazo, acha fikra za kimasikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tajiri! Ww waza kitajiri mm nawaza kimasikikini kuna shida bado??Usiamini kila kitu ni tangazo, acha fikra za kimasikini
Kweli kiongozi,wengi uwa wanafeli maana pesa ya mkopo ndio anaenda kuianzishia biasharaMikopo ya kibenki ni ya kinyoyaji sana , kama sio kwaajili ya biashara (iliyokomaa) siwezi kumshauri mtu kukopa.
apo picha linaanza ukiomba iyo 14.5 km una bahati sana watakupa 11 au 12 tu ilobaki watakuambia inabaki kwao kama ada ya uo mkopo.Acha Mkuu izi Benk zinatunyonya sna,
Nilitaka kuchukua mkopo wa 14mil na laki 5 Kwa kipindi cha miaka 8.
Kwa mwezi unakatwa 280K na unatakiwa ulipe 26.8 Mil Kwa kipindi icho chote.
Acha tu mpaka kichwa kiliuma,,
sa si utaenda kutmbea mkopo😁Yaani sie bodaboda ndio hatukopesheki kabisaaa...wanatutenga sana hawa watu wa benki.
Mtu una urithi wa viwanja na nyumba lakini hawakupi mkopo kisa sina salary slip
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani wao sii tayari wana dhamana waichukue wapige mnada tuu.sa si utaenda kutmbea mkopo😁