Mbona huyo ni mwanaccm mwenzio , au mmeanza kukataana ?Kwanini usiwe unapost mambo ya chama chenu badala ya kufuatilia mambo ya CCM? Huoni CCM ikifanya vibaya ni faida kwenu?
Atakuwa pandikizi la MboweMbona huyo ni mwanaccm mwenzio , au mmeanza kukataana ?
Tupe mtaala wa mafunzo ya darasa la itikadi tuuone, huenda hauhitaji mtu mwenye cheti Pascal MayallaMoja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.
Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?
Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
Msimamizi siyo lazima awe mtaalamu, anawa coordinate wataalamu, acha fitina...Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.
Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?
Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
vipi katibu mkuu ameshindwa kumnyoosha Makonda kama matarajio yako umeanza kulia LiaMoja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.
Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?
Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
hata mimi ningekujibu hivi,maana hatujui sifa za ufaulu mtu kuwa msimamizi wa mafunzo ya ccm,wala Cv za kuwa mwanafunzi.
Ukimpigia simu ukamuuliza hili swali atakwambia ukamuulize Mama yako.
shida kubwa ni kwamba wanaomtuhumu ni watu wazima ambao bado wanaoishi majumbani kwa wazazi wao, na ndio maana hawataki kujitokeza hadharani na vielelezo kumshitaki mahakamani....Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.