Kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi?

Kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi?

Mtu hafi kwa maombi, atakufa wakati wake ukiwa umewadia..
Ingekuwa hivyo wema wasingekufq, wangekufa wabaya tu
 

Japo Fella kawafanyia fitina wasanii wengi ila likija swala la ugonjwa inabidi wote tuwe wamoja ,binaadamu huwa tunajisahau tukiwa wazima ,ugonjwa aliokuwa nao wa stroke/kupooza ni gharama sana kuuhudumia.

Nimemsikiliza Don Fumbwe na Ricardo Momo wote wamesema Dainamo ametoa zaidi ya 200m kwenye matibabu ya mkubwa fella.
 
Back
Top Bottom