Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Watanzania tuna kesha na kuomba.
Ila kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi?
I wish..............
ChaiGet Well Soon Mkubwa Fella.
HujitambuiNi rahisi sana ukatangulia wewe hapo kupata matokeo ya hayo maombi kuliko yeye pengine
Amepatwa nashida gani kwani???
Anaugua, wanamuombea akate kamba kabisa, kwa matukio yake ya nyuma... Muda huongea...Amepatwa nashida gani kwani???
Wengine tupo nje ya yanayoendelea huko asee!
Duhhhhhhhh!! Kwamba malipo hapahapa dahhh!!Anaugua, wanamuombea akate kamba kabisa, kwa matukio yake ya nyuma... Muda huongea...
Muda hua huongea...Duhhhhhhhh!! Kwamba malipo hapahapa dahhh!!
Sio poaa lo.
Usinilishe maneno .Mtu hafi kwa maombi, atakufa wakati wake ukiwa umewadia..
Ingekuwa hivyo wema wasingekufq, wangekufa wabaya tu
InshaAllahTukaze kumung'unya maneno tutasikiwa tu.
Pole ya nini?
Chai