inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapoteaKuna wachambuzi nao wanayasema sana haya.
Simba mbovu vs Yanga iliyoozaUsidanganywe na ushindi wa timing,Simba mbovu kwa yanga
Yanga madimbwi wamelouwa tepe tepeSimba mbovu vs Yanga iliyooza
Kusema ukweli simba sio kwamba imedrop Hapana na hakuna kitu kama hichoBendera fata upepo kwa takwimu hizi watu wanaropokwa yani hapo Yanga kamzidi nini Simba??
Wachambuzi mbuzi wakija na mihemuko yao na mashabiki nao wanahemukwa...
Yanga kwa sasa ana kikosi kizuri lakini Simba sio mbovu..
Nabi yeye akatengeneza mbinu bora za kufungwa.Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
Watu wa upinde kumbe moo na mipasho yenu.Naona mgumba kapata mimba, yatatemwa mate mtaa mzima!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona hata kipindi cha pili walifungwa likakataliwa?Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
Siku zote ushindi ni timing.Usidanganywe na ushindi wa timing,Simba mbovu kwa yanga
Nilichojifunza ukiacha ushabiki kila mmoja akasifia chake basi watu wa yanga wana matatizo kwenye kichwa na kingine nashangaa sana wanapojifananisha na simba wakati hawako level moja . Sikatai simba nao wanaujinga wao lakini yanga wakipewa hata details za uongo wanayembea nazo. Nafurahi sana nikikuta watu walibishana simba na yanga nacheka japo sina ushabiki lakini kuna vitu kwa macho tu na uelewa mdogo unajifunza kuna tatizo sehemu. Kuna uzi uliletwa humu sjui yanga yupo nafasi ya ngapi basi wana yanga walitamba nao kumbe hata ukigoogle unajua kwamba mleta mada aliamua kuwavuruga wenzake ilimradi iaminike wenye akili pale ni wawili tu
No,Kuna timu itashinda sababu imejijenga kitimu na Ina ubora,na Kuna timu itavizia kushinda,itapata goli Kisha itakua na kazi ya kulinda mpaka mpira uisheSiku zote ushindi ni timing.
One mistake one goal.
Anaejua kutumia vizuri makosa ya mwenzake ndio mwenye akili na ndio ubora wenyewe.
Goli huwa halikataliwiMbona hata kipindi cha pili walifungwa likakataliwa?