Na huo wivu wao ndo chachu ya ushindi kwa Simba ,na IQ zao ni ndogo walikuja Mbabane swallows, Nkana, Js soura, Al Ahly washabiki wa Yanga walikuja kushangilia na walitoka patupu lakini bado hawakomi tu, sasa acha waje taifa waendelee kujitoa ufahamu huku Simba akipambana kwenda robo finali ila Yanga wao wanapambana kuiombea Simba isisonge mbeleYanga wanaponzwa na wivu tu sio jambo lingine
Hizi ndizo IQ zenu sasa mashabiki wa simbaNi kawaida mke kupiga kelele mume akigonga michepuko
Hizi ndizo IQ zenu sasa mashabiki wa simba
Hahaaaa mnajisifia na hela za mwanamme mwenzenu? Kweli zero IQKabisa, I.Q zenu ni za kutembeza bakuli
IQ zenu watu wa simba na kujisifia hela za mwanaume mwenzenu hamjia kuwa mnaweza kosa marindaKabisa, I.Q zenu ni za kutembeza bakuli
Sasa mmefanya nini wakati ni wa mwisho kwenye kundi????Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .
Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu
Bora sisi tunatoa hadharani maana wao wanachangishana ndani kwa ndaniIQ zenu watu wa simba na kujisifia hela za mwanaume mwenzenu hamjia kuwa mnaweza kosa marinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa nje ya nchi, usisahau code number ya nchi - +255Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .
Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu
Kama ww ulivyo feki hadi umeamua kujitangazaSimba ni timu feki, sioni mpira wanaoucheza. Wapo waongowaongo hivi. Pia mashabiki wengi wa Simba ndiyo kama hivyo, kina Babu Tale aliowasema Manara. Wadandiaji tu hawaujui mpira.
Timu ya Simba ilitakiwa isiwepo Tanzania, labda iwe kwenye ligi ya Yemen ndiyo itafaa zaidi.
Samahani lakini.
Povu!Simba ni timu feki, sioni mpira wanaoucheza. Wapo waongowaongo hivi. Pia mashabiki wengi wa Simba ndiyo kama hivyo, kina Babu Tale aliowasema Manara. Wadandiaji tu hawaujui mpira.
Timu ya Simba ilitakiwa isiwepo Tanzania, labda iwe kwenye ligi ya Yemen ndiyo itafaa zaidi.
Samahani lakini.