Kwa nini mashabiki wa Yanga mbaibeza Simba

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .

Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu
 
Yanga wanaponzwa na wivu tu sio jambo lingine
Na huo wivu wao ndo chachu ya ushindi kwa Simba ,na IQ zao ni ndogo walikuja Mbabane swallows, Nkana, Js soura, Al Ahly washabiki wa Yanga walikuja kushangilia na walitoka patupu lakini bado hawakomi tu, sasa acha waje taifa waendelee kujitoa ufahamu huku Simba akipambana kwenda robo finali ila Yanga wao wanapambana kuiombea Simba isisonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa J alisema usimchukie anaekupa changamoto. Ukitaka kufaniwa lazima pawe na wanaokuchukia na wanaokupenda.

Hivyo sisi watu wa yanga kwenu ndo sehemu ya mafanikio ila pia sehemu ya kifo chenu jumamosi na ukweli ni kwamba ur going to die

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnaisema yanga vipi nyinyi mliwahi kuinenea vyema yanga? Kuweni na akili za kumbukumbu zenu ndo mje mnalia huku other wise anything remain constant.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ni timu feki, sioni mpira wanaoucheza. Wapo waongowaongo hivi. Pia mashabiki wengi wa Simba ndiyo kama hivyo, kina Babu Tale aliowasema Manara. Wadandiaji tu hawaujui mpira.
Timu ya Simba ilitakiwa isiwepo Tanzania, labda iwe kwenye ligi ya Yemen ndiyo itafaa zaidi.
Samahani lakini.
 
Hahaaaa mnajisifia na hela za mwanamme mwenzenu? Kweli zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie tafuteni za mwanamke mwenzenu basi!! Unajua club kubwa zina owners? unamjua mansour wa man city? Nyie owner wenu ni wananchi wanaoishi chini ya dollar moja.

Ongezeni speed za kutembeza bakuli mlipe deni la watu.
 
Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .

Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu
Sasa mmefanya nini wakati ni wa mwisho kwenye kundi????
 
Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .

Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu
Ukiwa nje ya nchi, usisahau code number ya nchi - +255
Mbili za Algeria, tano za Misri na tano za Congo. Kuwa mzalendo.
 
Simba ni timu feki, sioni mpira wanaoucheza. Wapo waongowaongo hivi. Pia mashabiki wengi wa Simba ndiyo kama hivyo, kina Babu Tale aliowasema Manara. Wadandiaji tu hawaujui mpira.
Timu ya Simba ilitakiwa isiwepo Tanzania, labda iwe kwenye ligi ya Yemen ndiyo itafaa zaidi.
Samahani lakini.
Kama ww ulivyo feki hadi umeamua kujitangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ni timu feki, sioni mpira wanaoucheza. Wapo waongowaongo hivi. Pia mashabiki wengi wa Simba ndiyo kama hivyo, kina Babu Tale aliowasema Manara. Wadandiaji tu hawaujui mpira.
Timu ya Simba ilitakiwa isiwepo Tanzania, labda iwe kwenye ligi ya Yemen ndiyo itafaa zaidi.
Samahani lakini.
Povu!
 
Back
Top Bottom