Salt Bae
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 140
- 196
Kuna ushabiki mwingine sio fair kabisa yani kuna mashabiki wa Yanga wanaibeza Simba kuwa hamna cha maana walichokifanya mpaka sasa kwenye mashindano ya Champions league kisa imepoteza michezo ya ugenini .
Nawaambia kuwa Simba bado ana nafasi ya kufuzu next stage na lila team kwenye kundi lao bado ina nafasi yakufuzu. Ni jambo kubwa kwa Simba mpaka kufikia mechi ya mwisho kujua hatima yakufuzu au kutokufuzu ukilinganisha na baadhi ya team ambazo baada ya Match mbili tu zinakuwa zimeshapoteza nafsi yakufuzu