Kwa nini matokeo (apparitions) ya "Bikira Maria" yanafanyika sirini na si kwa uwazi?

Kwa nini matokeo (apparitions) ya "Bikira Maria" yanafanyika sirini na si kwa uwazi?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,351
Reaction score
2,255
Yesu alifanya huduma yake hadharani (public ministry). Sasa haya matokeo ya mama yake yaliyoripotiwa kwa nini ni ya kusiri (private) tu kiasi cha kuligharimu kamisa katoliki miaka kadhaa ya uchunguzi wa ukweli (authenticity) wa matokeo hayo? Kwa nini kama mambo haya ni kweli yasitokee kwenye public, kanisani, mjini, chronic,shuleni ....n.k na watu wengi wakamuona,wajasikia ujumbe wake, wakarekoduli picha za video? Kwa nini huko kote kama Fatima, Lourdes, Guadeloupe, Kibeho....n.k ni ana mtu mmoja au watu wachache tu wanatuletea havari kwamba amewatokea? Kama kweli huwa anakuja duniani kuleta ujumbe kwa dunia,why is she hidding herself?
 
Kwa nini mnaendelea kumwita bikira na alikuwa na watoto kibao?
Nimeweka jina kwenye inverted commaili mwenye akili ajue sikubaliani na nadharia hiyo. Kanisa katoliki limetengeneza maelezo lukuki kutetea fundisho la eternal virgity ambalo mimi sikubaliani nalo. Malaika mwenyewe amwambia Yusufu kwamba Maria ni mke wake asimwache. How comes then Joseph is just a guardian? Mwanamke ambaye huna sexual contact naye anakuwaje mke wako? Je Maria alisema simjui mume au sitamjua mume kamwe?? Theology zingine za ajabu kabisa. Na mijitu inasoma na kupata PhD za ujinga!
 
Back
Top Bottom