Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele.
Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!