Kwa nini michepuko imekuwa si waaminifu?

Kwa nini michepuko imekuwa si waaminifu?

Kiben10 nahisi kichwa yako haiko sawa. Sijui kama unatumia condom na hao vyangu ? Yaani huna steady girlfriend unamalizia hamu kws ma cd. Nahisi siku ukikosa unajichua.
50% mmmmh kama umewahi kuniona vile
 
Masahihisho
Begi zangu 2=mabegi yangu mawili
Cologate= Colgate
 
We jamaa hebu kua serious kidogo hivyo tu unalia?? Ingekua kachukua vitu vya thamani si ungejinyonga
 
Nisamehe nimekutoa .....kwani we huwa hupigi picha na 360?? Maana hao hawana tofauti na wapaka poda samahani lakini

Mi niko shambani huku Matombo, hayo makitu yenu ya wanaume wenu wa DSM kushare dressing table na dada zao, mi siyajui !
 
Nakwann uchepuke. Ukitegemea kua hautosalitiwa ili hali anajua wee hutoka umuoe???

Kuwen na Akili basi.
 
Back
Top Bottom