prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Nilivyoona poda na lotion tu nikasema kwa sauti huyu ni mwanaume wa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina hizo tabia kuiiba kioo cha nini sasaMama Sabrina mbona nyie wanawake mko na tabia hizi lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wanaume wa Dar si unajua tunatumia Poda na Lotion sasa huyu mwanamke anavyonibebea vitu vyangu nini maana yake?
Polee nunua tenaUsicheke me toka amenibebea vitu vyangu hata kufanya mtoko naona jau
Hapana Mimi mtanganyikaUnamanisha wewe ni mswahili mzuri wa Unguja eeeeh#Rhz4567
Si ndo wanaume wa sikuhizi mlivyo unashangaa?Lotion 2! Poda......! Poda ya nini mkuu?
Mi siko hivyo! Naomba unitoe ktk list yao!Si ndo wanaume wa sikuhizi mlivyo unashangaa?
Nisamehe nimekutoa .....kwani we huwa hupigi picha na 360?? Maana hao hawana tofauti na wapaka poda samahani lakiniMi siko hivyo! Naomba unitoe ktk list yao!
Nisamehe nimekutoa .....kwani we huwa hupigi picha na 360?? Maana hao hawana tofauti na wapaka poda samahani lakini