Kwa nini michepuko imekuwa si waaminifu?

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Jamani leo gheto langu jeupe kabisaaa...X wangu kasepa na baadhi ya vitu ghetoni kwangu.
Vitu alivyochukua;
Pufyumu 2, kioo, mafuta ya kupaka, Lotion aina 2, Powder 1, vipimo vyangu vya HIV 4 na reagent , Begi zangu 2, Redio ya Bluetooth 1, Shuka 2 nyeupe na dawa ya meno Cologate.
Huyu bint tumefahamiana 3 weeks ila nilimuamini sana ila leo ndio kanifanyia unyama huu. Sema kwani me sifahamu nilikutana nae kwa Gari ya Tegeta to mwenge na yeye aliniambia anaishi magomeni, sijui magomeni gani. Sasa amekuja kwangu mara 4 ila safari hii ya 5 ndio kanifanyia hivi toka asbh kaniambia anakuja niache funguo kwani mimi nilikuwa job ndio nimerudi saa 2usiku ndio nakuta gheto nyeupe namna hii nimfanyie nini huyu bint?.

Nishaurini nifanye nini ili aweze kurudishe mali zangu???
 
Ukipiga hesabu za haraka umepoteza kama elfu 52 hivi.sasa hii nayo ni ya kuomba ushauri humu kweli?.hata kodi ya nyumba ya mwezi haifiki
 
Sasa tatizo lako umechagua demu wa uswahilini . Sio watu hao. Anyway naweza kupa mbinu ya kumdaka huyo manzi ili next time uwe makini
 
Kuna jamaa yangu anakaa Magomeni. Amevhukua li changu kwenye club wakapelekana kwake. Asubuhi anamtuma changu akanunue maini amkaangie. Hivi Limbwata watu mnalijua au mnalisikia.
 
Ukipiga hesabu za haraka umepoteza kama elfu 52 hivi.sasa hii nayo ni ya kuomba ushauri humu kweli?.hata kodi ya nyumba ya mwezi haifiki
Mkuu hyo redio co sabufa
 
Yan umwachia mchepuko funguo
Namejua hata mwez Bado
Hata ww bhas n hamnazo
 
Ukipiga hesabu za haraka umepoteza kama elfu 52 hivi.sasa hii nayo ni ya kuomba ushauri humu kweli?.hata kodi ya nyumba ya mwezi haifiki
Sash mwenyewe kasema mchepuko alitegemea nini? Hiyo ndo zawadi yake kutoka kwa mchepuko.
 
Sasa tatizo lako umechagua demu wa uswahilini . Sio watu hao. Anyway naweza kupa mbinu ya kumdaka huyo manzi ili next time uwe makini

Sasa jmn ivo vitu c kidogo tu samehe endelea na maisha acha kupoteza muda kwa mambo yacyokuwa ya muhimu bhana utapata tu vingne
 
Kiben10 nahisi kichwa yako haiko sawa. Sijui kama unatumia condom na hao vyangu ? Yaani huna steady girlfriend unamalizia hamu kws ma cd. Nahisi siku ukikosa unajichua.
 
Back
Top Bottom