Elections 2010 Kwa nini Michuzi aling'aka ailipoambiwa anapigia kampeni CCM?

Elections 2010 Kwa nini Michuzi aling'aka ailipoambiwa anapigia kampeni CCM?

Navyojua mimi pamopja na Michuzi kuwa mwanahabari pia ni mwana CCM.. Na sijui hili tegemeo la kwamba anatakiwa asipendelee chama chochote ni mpango uloanzishwa lini..Maadam CCM ndiye anayeweka ugali wake mezani na tupo ktk demokrasia, Michuzi ana kila right ya kukipigia debe chama akipendacho - Hamtaki anzisheni nanyi Blog zenu..
 
Bwana Issa Michuzi alitoa maelezo marefu kuwa yeye hafungamani na upande wowote ingawa asilimia kubwa tunamjua ni kibaraka wa CCM ,informer fulani wa usalama .

Sasa hivi iko dhahiri kuwa anapigia debe CCM Kupitia blog yake ,Kuna CD ya JK 2010 anatangaza kwenye blog yake anauza na pia kama unataka kuwekewa milio ya simu ya JK ati usasiliane naye.
Kama mtu yeyote yule ana uhuru wa kuwa na chama chochote ni haki yake ila kwa nii aligoma at the first place na kuandika waraka mrefu kukanusha na kung'aka.

Ambao mlikuwa mnashangaa kwa nini taarifa za Chadema na mikutano yao inachelewa kuwekwa au haiwekwi kabisa hope jibu ndio hilo,huyo bwana ni kada wa CCM A.K.A mafisadi .Kwa hiyo ana sababu zote za kuwa baised ,habari za CCM hata ki halfa kidogo ,kura za maoni faster anaweka,ukiuliza chadema au vyama vingine unambiwa hii blog yeyote anaruhusiwa ku post alaaa ndio iko hivyo!!

MICHUZI ni kibaraka wa CCM..period!
 
Back
Top Bottom