Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tatizo la Babeli lilikuwa nini hasa hadi ukaandikwa kwenye maandiko ya Biblia kuwa ni mji wa mfano wa machukizo na uasi mpaka leo hii waamini wa Biblia wanaamini hivyo?
Je hazikuwa bifu tu za kijamii kati ya WaIsrael na Wababeli waliowachukua utumwani ndio ikatengenezwa historia hii na waandishi wa Biblia ?
Je hazikuwa bifu tu za kijamii kati ya WaIsrael na Wababeli waliowachukua utumwani ndio ikatengenezwa historia hii na waandishi wa Biblia ?