Kwa nini msiba wa Jane Urassa umekuwa wa kitaifa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?

Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
 
Gentleman,
mie nadhani msiba ni msiba tu,
uwe wa kijiji, kata, taarifa, wilaya, mkoa, taifa au kimataifa, muhimu alietangulia mbele ya haki asitiriwe kwa heshima na waliobaki hai wasonge mbele mpaka wakati wao muafaka wa kufa.

Maisha ni hadithi,
ni muhimu sana kuishi vizuri duniani, ili hatimae siku zako duniani zikitamatika, maisha yako yawe hadidhi itakayowavutia waombolezaji wengi zaidi kitaifa na kimataifa, na sio aina ya kifo chako ndio kivutie watu wengi zaidi 🐒
 
Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?

Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
Huyo mama anatajwa kuwa alikuwa muungwana sana
 
Inaitwa kuishiwa habari, na kuiona habari hii waki irudia rudia itawaongezea wasikilizaji/watazamaji.
Hivyo hivyo, na habari ya Chivayo.​
 
Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?

Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
Samaki huoza kuanzia kichwani.

Mwenendo wetu wa Maisha umejaa ubatili, hivyo kila kitu kinacho zaliwa chini ya huu ubatili na batili, kuanzia kuchagua viongozi, viongozi wenyewe, Sheria, utekelezaji , ajira, promotion, kupeana tenda, mwishowe ndio ina shuka kwenye familia , kukuza watoto , ndio hao Wana kuja kuoana ktk ubatili mitupu .
Kwa hiyo wa Kwanza kwenye kurekebisha hili jambo, ni kichwa, tuje Kwa Gwajima, na wengineo, kwenye dini zetu. Kwenye mishangazi, wajomba Kwa wanaume n.k n.k
 
🎯
 
Back
Top Bottom