Acha ushamba, wa kitaifa Rais alihudhuria? Kiongozi gani aliwakilisha serikali? Vijana wa siku ni aibu! Empty-headed!Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?
Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
Chasaka😀😀hatimae WAchaga wameuana wenyewe.
Vyasaka tunashuhudia mtanange
... Kama vyombo vya habari vinaufatilia, huo msiba, basi hata Rais anakuwa amehudhuria kiaina!Acha ushamba, wa kitaifa Rais alihudhuria? Kiongozi gani aliwakilisha serikali? Vijana wa siku ni aibu! Empty-headed!
Mamake na yeye walikula shaba, ila yeye alipona, kisa nyumbaHivi yeye ilikuaje? alipigwa risasi au alichomwa kisu?