Gentleman,Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?
Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
Kumbe ndoa zina mapungufuMsiba huu umeibeba mingine yote ya aina hii!
HII NI KATIKA KUIAMSHA JAMII KUHUSU MAPUNGUFU YA NDOA ZETU! (... NA SHERIA ZA NDOA HATARISHI KWA UHAI)
Huyo mama anatajwa kuwa alikuwa muungwana sanaHuu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?
Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
Kesho si jumamosiOmba mungu akupe mwisho mwema, hakuna anaejua kesho yake.
Wanawake wa Kichagga siyo wabaya, tatizo lao kubwa kuwasikiliza ndugu zao na ushauri wa kitapeli! Ingawa nao at the end of the day, huwa ndugu zao wanawatapeli hasa kaka zao.hatimae WAchaga wameuana wenyewe.
Vyasaka tunashuhudia mtanange
Samaki huoza kuanzia kichwani.Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ?
Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu nyingine za Tanzania?
🎯Samaki huoza kuanzia kichwani.
Mwenendo wetu wa Maisha umejaa ubatili, hivyo kila kitu kinacho zaliwa chini ya huu ubatili na batili, kuanzia kuchagua viongozi, viongozi wenyewe, Sheria, utekelezaji , ajira, promotion, kupeana tenda, mwishowe ndio ina shuka kwenye familia , kukuza watoto , ndio hao Wana kuja kuoana ktk ubatili mitupu .
Kwa hiyo wa Kwanza kwenye kurekebisha hili jambo, ni kichwa, tuje Kwa Gwajima, na wengineo, kwenye dini zetu. Kwenye mishangazi, wajomba Kwa wanaume n.k n.k