Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana
Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa, na sikuhizi Watanzania wanajenga mno so serikali inapaswa ku keep up na wananchi wake
Neighborhoods zinahitaji barabara za lami, closed drainage system, sidewalks na taa za barabarani. Inapaswa kila kona iwe hivi
Seriously, mnapaswa mtenge budget kubwa kujenga miundombinu kwenye makazi ya watu, hata hamtakufa mkifanya hivyo.