Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
 
TTCL hawana limit ya kutuma sms ndani ya lisaa limoja.

Mitandao mingine uwezi tuma sms zaidi ya 100 ndani ya lisaa limoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…