Sio vyote vpo tcu mkuu
huyu ni kasanzu yuleyule naemujua mimi mchunga ng'ombe ama mwingine?Sheria ya Tcu ya mwaka 2005 inavitaka vyuo vyote vitumie mfumo huo. Tcu wanayo mamlaka ya kukifungia chuo chochote. Lakn zipo coz ambazo hawazitambui. Na zikifundishwa zinabaki kama ceremonial. Hzo za madrasa ni mojawapo. Nadhan hapo kuna jambo flan nyuma ya pazia,kwan vipo vyuo vilivyofungiwa na Tcu kwa kudahili wanafunz nje ya utaratibu.so mum nadhan wanabebeka tu mbeleko ikikatika basi inaweza kuwa nouma.
acha uongo
tatizo nyinyi hawa watu sijui mna matatizo gani? Ni uongo kwa uthibitisho upi? Mkishaona dini tu basi tatizo hapo watu hawana hoja tena ni ujinga tu unafata. Hakuna atayekanusha maelezo yangu kama ni mnufaika wa chuo kile na anajua sababu maana ilisemwa, watafute hao wanafunzi na wakufunzi wa pale watueleze sababu ni nini?nakwambia hawawezi kuja na sababu tofauti na nilizoandika kwa sababu wenye chuo ndio walisema tena hadharani bora wangesema kwa siri wangeweza hata kukana maneno yao
tatizo nyinyi hawa watu sijui mna matatizo gani? ni uongo kwa uthibitisho upi? mkishaona dini tu basi tatizo hapo watu hawana hoja tena ni ujinga tu unafata. hakuna atayekanusha maelezo yangu kama ni mnufaika wa chuo kile na anajua sababu maana ilisemwa, watafute hao wanafunzi na wakufunzi wa pale watueleze sababu ni nini?nakwambia hawawezi kuja na sababu tofauti na nilizoandika kwa sababu wenye chuo ndio walisema tena hadharani bora wangesema kwa siri wangeweza hata kukana maneno yao
najua siyo vyote na kati ya vyuo ambavyo havimo ni hiki cha kwenye mada,na ninadhani ndio chuo pekee ambacho hakipo TCU cas.
je kwa nini hakimo?hii ndio mada.
Mnawaonea TCU jamani, mnataka waanze kusimamia na madras?
mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....
Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho
hawa jamaa sijui huwa wanaongozwa na nini? nataka wakamlete mkubwa wao wa chuo aliyetoa maelezo na sababu zilizowafanya wakatae mfumo wa CASS aje akanushe ama akiri maelezo haya,na wale wanaokuja hapa wamevuta bangi ama wamekunywa viroba ama wanaongozwa na jazba ni udini mimi sitahangaika nao. na nitawataka walete sababu na kama hawajui wakae kimyamkuu Mshinga umewashika pabaya sana leo islamist extremist .hawana points za kukanusha maelezo yako.kwa sasa wanaongozwa jazba tu.subiri wengine waamke uone balaa lake.nikupe tuu taadhari uwe mvumilivu kwa kashfa utakazo kutana nazo.
wananyimwa fursa kimakusudi ktk vyuo vya umma?how?explain pls.
kwa hiyo mkuu wenu wa chuo alidanganya kwa kutoa sababu za uongo?mum hakuna kozi itolewayo before kuanza kusoma degree ....
haki ya nani waislamu wengi mtaendelea kukosa elimu kwa maneno haya mnayolishwa na kuyameza kama ngisi.Sababu ya kutojiunga na tcu ni kukifanya chuo kiwasaidie waislam wengi ambao wananyimwa fursa kimaksudi na vyuo vya umma .....
kwa hiyo unataka kusema sababu hizi ulizotoa ndizo ambazo mkuu wa chuo alisema kwa umma na kuzipeleka TCU KUWA WAISLAMU WANANYIMWA FURSA VYUO VYA UMMA?Mimi ni graduate wa mum... So nina ongea kitu nikijuacho
marginalization- mfumo kristo
kweli nyinyi hamtumii akili zenu kabisa zaidi ya kukaririshwa mambo ya ajabu ajabu.Sasa kama walishasema sababu unatuulizia nini?
ni wapi nimetia chumvi?bainishaEti unachunguza habari hutii chumvi!?
tatizo umekurupuka sana,sijui umepigiwa simu uje kuongeza nguvu na umeingia humu na speed bila hata kuangalia nani aliyeandika hii habari,mwisho wake umekuja kuniparamia mimi ambae si mwandishi wa habari hii,MIMI NI MCHANGIAJI TU KAMA WEWE,hebu angalia aliyeleta topiki ulinganishe na ID yangu na hata picha yangu si sawa na huyo mleta mada.Hicho kilichokusukuma kuandika hii habari ni chumvi tosha!
kweli nyinyi hamtumii akili zenu kabisa zaidi ya kukaririshwa mambo ya ajabu ajabu.
umekurupuka tuuuu!
wapi nimeuliza kutaka kujua sababu?unaweza kunionyesha?ama nina jadili mada na mtu aliyetoroka mirembe?
ni wapi nimetia chumvi?bainisha
tatizo umekurupuka sana,sijui umepigiwa simu uje kuongeza nguvu na umeingia humu na speed bila hata kuangalia nani aliyeandika hii habari,mwisho wake umekuja kuniparamia mimi ambae si mwandishi wa habari hii,MIMI NI MCHANGIAJI TU KAMA WEWE,hebu angalia aliyeleta topiki ulinganishe na ID yangu na hata picha yangu si sawa na huyo mleta mada.
KWELI NYIE NI WAKURUPUKAJI,ONA SASA UMENIPARAMIA UKIDHANI MIMI NDIO NIMELETA MADA.
St. Augustine pia hii system ya kudahili wasio na sifa ipo na inaitwa 'remedial' kwa wale ambao hawakufaulu vizuri huwahi chuoni na kusoma kwa miezi kadhaa na baada ya hapo hupewa mitihani na watakaofaulu basi hujiunga moja kwa moja na degree na kwa watakaofeli hushauriwa kujiunga na cheti.