Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUM ni kama hakipo! cHUO HAKINA HATA WANAFUNZI 200! wenyewe hawakitaki hata kukisikia.... TANESCO warudishiwe majengo yao wafanye yao.....
So what?MUM hapo nasikia shehe ponds nae no mhadhiri!
najua kuwa wewe sio mtoto, na ndiyo maana katika post yangu ya awali nilikuambia kuwa huna sababu ya kumdegrade binadamu mwenzako kwa kiwango cha mdudu au mnyama. JiheshimuNajaribu kujadili na wewe kwa nidhamu. Tafadhali usinikaripie kama mtoto mdogo!.
Unauliza kama nina secret mission.
Halafu unategemea nikujibu" ndio ninayo!? Au hapana sina?
Come on!
Huongei na mtoto hapa! Kama huna la ziada ishia hapa.
Mtu asie na adabu au nidhamu basi kamwe siwezi kumuwekea nidhamu!
Na hio ni basic principle ya any sound minded person.
If you dont like. Tough!
Mfano huo uliotoa una uhusiano gani na Watz?. Daima nimekuwa nikiuliza kwanini umtukane Mtz mwenzako bila kosa? niliowauliza hilo swali walishindwa kulijibu, je, wewe waweza saidia kujibu?Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika
kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco
jimboni California nchini Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye
umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake
nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu
aitwaye Mac.
Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale
alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha
yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini
Marekani.
Kwa habari zaidi bofya hapa:
http://nationalreport.net/california...imal-
marriage/ hawa wagalatia ndio hizo akilizao na viongoz wao
Sijakukaripia, nimekwambia hivyo kwa sababu ya kicheko chako cha dharau ktk post yako. Jibu swali kwann uwadegrade WaTZ wenzako, Je, sababu ni tofauti za imani tu? Kwa mifano uliyotoa ktk posts tangulizi zinauhusiano gani na Watz? ndiyo maana nikauliza do you have a secret mission to fulfill? Acha dharauNajaribu kujadili na wewe kwa nidhamu. Tafadhali usinikaripie kama mtoto mdogo!.
Unauliza kama nina secret mission.
Halafu unategemea nikujibu" ndio ninayo!? Au hapana sina?
Come on!
Huongei na mtoto hapa! Kama huna la ziada ishia hapa.
Mtu asie na adabu au nidhamu basi kamwe siwezi kumuwekea nidhamu!
Na hio ni basic principle ya any sound minded person.
If you dont like. Tough!
najua kuwa wewe sio mtoto, na ndiyo maana katika post yangu ya awali nilikuambia kuwa huna sababu ya kumdegrade binadamu mwenzako kwa kiwango cha mdudu au mnyama. Jiheshimu
Sawa Giti, Hivi kwanini usitoe taarifa kwenye taasisi ya Uhamiaji ili iwashughulikie hao wagalatia waliovamia taifa letu? Nimekuuliza kwa sababu umeunga mkono hoja ya ASP. Lakini kama ni WaTZ, basi tuna safari ndefu kufikia ukombozi kamili wa kiakili, tusiitane majina ya kubezana, sisi sote ni Watz na wala usiigeuze imani yako iwe kwenye kundi maalum hapa TZmkuu heshima yako! Umenena vyema kwa mtizamo wangu.
Mifano uliyotoa haina uhusiano wowote na TANZANIA YETU. Kumbuka unapotioa mifano ni muhimu iwe hai sio mfu, mifano uliyotoa kwa Tanzania ni mifano mfu. Mnyama ukimpa chakula haulizi kwa sababu anatumia silika, Mimi na wewe tunatumia utashi, make us of that power, unadhani Mungu alifanya makosa kukutofautisha wewe na mnyama, please behave as a human being and not as an animal. Eti Mungu ametumia hayo majina!!!! ebo huoni hata haya,Kwani wewe ni Mungu? hao uliokuwa unaowarifaa did they deserve that judgement, ukisema ndiyo, Je, wewe ni Mungu mpaka utoe hukumu za ajabu ajabu kama hizo.Nimekupa mfano hai. Na nimekupa sababu zangu kwanini nikatumia kauli nilizo tumia!
Nadhani wewe na mimi hatuwezi kuwa bora kuliko manabii na mitume and more over Mungu muumba pia ametumia majina na sifa ktk kutanabahisha makundi ya watu!
Uki act kama mnyama UTAITWA MNYAMA! na uki act kama mdudu UATAITWA MDUDU .simple!
Najaribu kukuelekeza lkn nakuona ni mgumu saana wa kuelewa. Au aidha unataka tupoteze muda hapa kujadili kisicho na faida.
This is the last time I will tell you.
Stay out of my business. Me siko hapa kumkejeli mtu.
Kama kuna watu nimewapa cheo cha akili kama panya basi ujue AKILI ZAO HATA HAO PANYA WANA AFADHALI.
Kuna watu MUNGU amewaita mfano ni kama WANYAMA!
Kutokana na tabia zao.
Na huyo ndie aliye tuumba!
Sasa kipi.kinachokushangaza mimi nikitumia mifano hio??
Keep off me before you regret!
I have some lessons to teach.
haha...si unawajua hawa watu ..hawajui hata umaana ba hasara za cheating
mkuu na msomi wa MUM "prooffing" ina maana gani?.i have googled it 10 times and never found its meaning. hutunwa=hutumwa.chuo kinapo select wanafunzi majina hutunwa TCU kwa ajili ya prooffing.